Baada ya Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Wanasheria

Baada ya Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Wanasheria

Hahahaha...... ni kama yote yakifanikiwa basi kitakachofuata ni sisi wananchi kugoma kulipa kodi maana ndiyo zinazowatia wazimu.... hahahahahaha

Hii ingependeza sana tena sana!

Kwanini isiwe hivi jamani????????
 
Wewe kweli mpuuzi sana mtu anaandika matusi badala ya kumuonya wewe unamshambulia anaetukanwa.

Mi na wewe nani mpuuzi? Wewe na yeye nani katukana? Acha upoyoyo
 
Back
Top Bottom