Baada ya mfumo wa analogia je haya yatakuwa vipi?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Je madish na receiver vitakuwa vinahusika? Na je receiver hzi zitabaki na chanel ngapi? Msaada khsu hayo plz!
 
Madishi na receiver vitaendelea kufanya kazi kama kawaida. Mabadiliko haya yataathiri wale ambao wanatumia antena zakawaida za kwenye TV ambazo zinategemea minara.
 
Mkuu kama una Receiver ya MPEG2 itabaki kopo vituo vya matangazo vitabadili mfumo toka mpeg2 kwenda mpeg2 dvb s2 au mpeg 4 dishi zitaendelea kufanyakazi chakujiandaa upate mpeg4
 
Kwahiyo nikiwa na receiver ya mpeg 4 ambayo siyo ya hivi vikampuni uchwara naamanisha si ya ting zuku star tym, nitaendelea kuona chanel za FTA kama kawaida au vituo vyote vitakua vya kulipia?
 
Back
Top Bottom