Je, uwekekezaji wa partnership kwa kuhusisha mashirika ya kiserikali au hata binafsi ndio ukoje?

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,187
Wadau!!!

Nimesikia ya kwamba mtu binafsi au kikundi cha watu, hapa nazungumzia labda taasisi, inaweza kuingia ubia na Shirika la Nyumba la Taifa ili kujenga kama ni nyumba za kuishi, apartments, malls, magorofa ya biashara n.k,

Je wadau wanaolifahamu hili kwa undani au wadau mliopo NHC, hadi mtu binafsi au taasisi inafaulu kufanya partnership na shirika je ni vigezo vipi vinatumika ? Na je baada ya project kumalizika kisheria bila kumnyonya kimaslahi mwingine, mgawanyo wa PROFIT, mapato, n.k, inakuwaje?

Natanguliza shukrani.
 
Ndio inafanyika nenda nhc office au website yao utapata maelezo
 
Back
Top Bottom