Inategemea ntu na ntu.
Mie kuna ntu nilimwacha lakini siachi kumsifia jamaa ni handsome kweli na yuko vizuri kwa game lakini kitu kidogo tu tulishindwana na ni rafiki yangu bado tunajadili Mambo kadhaa ya maisha ingawa kila mmoja alisha move on
..mapenzi ya kibongo ni ya kinafiki sana....wenzetu wazungu kamwe hawana haya....mkimwagana kila mtu na lake...hamna kusemana...lakini huku afrika kwenye unafiki ndio maana unakuta hata wanaojiita wapenzi wanauana na magonjwa...kwa kila mtu kutoka nje kwa siri hadi kuja kuuana....unafiki tu....ni wachache saana wenye mapenzi ya dhati...ambao hata kwa namna moja ama nyingine wakiachana bado wanabaki friends...