Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,094
- 136,672
- Thread starter
-
- #41
No kidding.Love is a serious mental disease'!!!!....take that
That's too much truthUkitaka kuwafaidi warembo, kuwa muongo muongo, utawafaidi sana
Utaitumia kwa Msukuma wakoHa haaa hii style ya x wako ngoja nitaitumia for the future.... Umeuburudisha mchana wangu
Nakuunga mkono na mguu sweetheartWanasemaga.."mapenzi ni upofu"
Chongo utaaita kengeza...
Kiuhalisia ukimpenda mtu kwa dhati na ukakolea haswa huwezi kuona kasoro yeyote kwake...
Hata ukishuhudia 'baya'lolote kwake akili yako itakuambia kuwa ni zuri.
Do not underestimate "the power"of love.
Una umri gani mkuu?
Maneno yote ni ya ukweli kwa nyakati zote hizo mbili (hapa nachukulia mtu mwenye utu, mkweli na asiyekuwa na hila moyoni mwake. Vinginevyo kusema mtu ana kibamia au bwawa wakati unajua kabisa hana ni kuidanganya nafsi).
Wakati penzi limekolea nia ya mtu inakuwa ni moja tu ya kumpenda mwenzi wake, hivyo hata yale mabaya atayachukulia positively ili tu penzi linoge, lisonge.
Sasa mkishaachana, hususan kama mmoja kaachwa, basi kuyaibua yale mapungufu yake inasaidia sana kumsahau na kuponya roho, kama ukiwa unayawaza repeatedly (wataalam wamethibitisha hilo).
Hivyo mimi naona ni kama survival strategy.
Rei mambo?
Vipi na kwa wale ambao huwa wanaachana na kurudiana?
Tuseme baada ya kuachana mmoja au wote wanaanza kukandyana.
Huyu anasema mwenzie mbaya mwenzie naye anasema mwenzake ananuka, na kadhalika na kadhalika.
Halafu baada ya muda wanarudiana tena. Sasa hapo vipi?
Yote ni ya kweli kulingana na muktadha wa wakati uliopo?
Kwamba wakiwa penzini kila mtu ni bonge la hendsamu, byutiful, n.k.
Ila wakitosana hendsamu anageuka anakuwa mbaya na byutiful anakuwa na sura kama chura.
Wakirudiana tena yule alokuwa mbaya anageuka kuwa hendsamu na mwenye sura kama chura mara anakuwa beauty queen.
Niaje hapo mama? [I'm your son, right?]
Yup...I think so too. Sometimes people say bad things about other people in order to easy whatever difficulties they are going through.
Hahaaa!! Ndio yuleeeee au mwingine?Mimi nilimuongelea maneno mabaya yule mwanamke kwa sababu niliona kaniacha yeye lakini kila siku ananichimba chimba ili ajue kama najuta kuachana naye!!
Nikamuambia naweza kuwa na binadamu yeyote yule wa kike kama.na.yeye yuko tayari kuwa na mimi
Hahahahaa... atoto, huyu ni mwingine, yule alikaza hakutaka kuniangalia angalia usoniHahaaa!! Ndio yuleeeee au mwingine?
Nikikupenda kamwe sitokuongelea vibaya hata baada ya kuachana.
Imemnyea.Aisifiae mvua
Watu mlipendana, mkashare mengi ya nini kuanza kukashifiana eti kisa mmeachana. Sipendi kwakweli.That's my girl! I am of the same type...umuongelee vibaya aliyekuwa mpenzi wako ili iweje!? Ni ujinga tu kwa maoni yangu ambao hauna manufaa yoyote yale.
Mweeeh! Shikamoo kiinglish.WOMEN THEIR TEACHER BLIND