Baada ya Mama kujifungua unapita muda gani ili kuanza mechi?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Hivi ni kipindi gani kiafya kwa pande mbili kinafaa kizingatiwe kwa wenza kukutana baada ya mama kujifunguawengine wanasema miezi mitatu,wenginer siku 40 nini hasa muda mzuri kiafya siyo kiustarrabu
 
just make sure you get special contraceptives for wamama wanao nyonyesha.
 
it all depend how fast she recovers back to the game

Huyu mtu anakuwa na recovery za kiakili na kimwili, kwa upande wa kimwili, Mwezi mmoja ni standard, kama bado anakumbukia adha za labor pain, hapo it could be more than a month.
 
Muda wowote baada ya "postpartum period" (muda unaoanzia mara tu baada ya kujifungua mtoto hadi wiki sita/ siku 42 baada ya kujifunua) na kwa kuzingatia afya ya mama na mtoto aliyezaliwa. Jamani wanaume muwe na subira hadi hapo wenzi wenu na watoto muliowazaa wanapokuwa stable kiafya!!!! Msipozingatia mtakuja chakachua afya za wake zenu bna watoto wachanga muliozaa, nawasilisha!!!
 
Muda wowote baada ya postpartum period (siku 45 baada ya kujifungua) na kwa kuzingatia afya ya mama na mtoto aliyezaliwa. Jamani wanaume muwe na subira hadi hapo wenzi wenu na watoto muliowazaa wanapokuwa stable kiafya!!!! Msipozingatia mtakuja chakachua afya za wake zenu bna watoto wachanga muliozaa, nawasilisha!!!

Mama mdogo, quote iliyokuwa bolded red.
 
Back
Top Bottom