EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Mzigo hauwezi kuwa sawa mkuu, usilinganishe sayansi na huo upupu wa kiingereza, english ya form two MABALA THE FARMER, mara HAWA THE BUS DRIVER ulinganishe na akina NEWTON, AKINA ARCHIMEDES, AKINA MICHAEL FARADY, AKINA FORCE. Tutake radhi walimu wa sayansi kabla hatuja apply compressive force.Sasa lugha inatofauti gani na lugha ya kiingereza?. Labda kwakuwa wao wanatumia namba tu ila mzigo ni kama sawa. Maana katika kila kipindi lazima zoezi litolewe na lisahihishwe bila ya kusahau home work za kutosha.