Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,743
Kuna hela zitamwagika balaa umeongea point cha msingi ndugu nikutega sikio fursa zitatokea za ajabu sanaAcheni kelele nyie, hayo ni maumivu ya muda mfupi, mama atafungulia hela mtaani![]()
Kuna hela zitamwagika balaa umeongea point cha msingi ndugu nikutega sikio fursa zitatokea za ajabu sanaAcheni kelele nyie, hayo ni maumivu ya muda mfupi, mama atafungulia hela mtaani![]()
HahahahahahahahahaMama anaupiga mwingi mno.![]()
Maendeleo ya nchi yetu hayatoletwa na MBOJO! Yataletwa na mimi na wewe.Hili la mbolea limeniuma sana. Mkoa nliopo Urea ni 80K halafu unaambiwa ulime kwa njia za kisasa. Nchi imekua ngumu hii sijui tutaponea wapi
Maendeleo yaletwe kwa kutoana roho. Halafu sasa kama mimi wakulima wenzangu wengi wamesema wakishavuna vilivyopo shambani hawalimi tena. Wangapi wenye mentality kama hizo? Kuna maendeleo yatakayotokea hapo zaid ya mdororo wa mamboMaendeleo ya nchi yetu hayatoletwa na MBOJO! Yataletwa na mimi na wewe.
NB: Kuwafahamu Mbojo...View attachment 1858801
Mama anatoa boko kwenye mbolea.Mama anaupiga mwingi mno.![]()
Mama anatoa boko kwenye mbolea.
Hiyo tozo ya kwenye fedha za mtandao akaze tu ili mradi tuone huduma zilizokusudiwa kutokana na haya makato zimekamilika.
Wakitukamua na kujineemesha wao tutamuadhibu mama kwenye sanduku la kura kama atagombea 2025.