Mchungaji na sheikh walikutana safarini ... Katika kuagiza chakula mchungaji akaagiza kitimoto .. akamkaribisha sheikh, sheikh akamwambia situmii hiyo nyama mchungaji akamjibu waislam mnakosa uhondo sana ... Wakipofika safari ilibidi kila mtu achukue hamsini zake katika kuagana sheikh akamwambia mchungaji msalimie mkeo, mchungaji akamjibu haturuhusiwi kuoa sisi sina mke, sheikh akamjibu na nyinyi mnakosa uhondo sana ..😀