Baada ya mahakama ya mafisadi kuonesha mafanikio,sasa imekuja hii mpya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,432
IMG_20180728_123346_267.jpg


Nachukua nafasi hii kulipongeza jeshi la polisi Doria kwa kulinda rasilimali bahari /ziwa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Itakuwa aibu kama mtoto atakayezaliwa miaka 15 ijayo asikie kulikuwa na samaki anaitwa ningu au gogogo lakini leo hayupo sababu tu wavuvi haramu waliachiwa kufanya wanaloweza.
 
Last edited by a moderator:
Unatembea na Polisi, akikamatwa mtu anahukumiwa pale pale. Ni ubunifu Lakini haki haiwezi kutendeka ipaswavyo. Leo mnawakamata wavuvi haramu, baadae mtazitumia mahakama hizi hizi kubariki ufikauni wenu. Na kuna kundi litaumizwa zaidi ya hao wavuvi haramu.
 
Ruge ,Singasinga na wale watu wa mpira,kuna wengi tu kesi zao zinaunguruma
Kama akili yako inakutuma kuwa hao uliowataja wametiwa hatiani basi kazi ipo asee.

Tangu mahakama ya mafisadi ianze nani kapatikana na kosa hivyo kutiwa hatiani na kuhukumiwa?
 
Back
Top Bottom