Baada ya madereva kugoma, sasa ni zamu ya waongoza watalii

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,080
2,000
Waongoza watalii nchini pamoja na wabeba mizigo ya watalii(wapagani) kupitia umoja wao,wametangaza kusudio la kugoma kuanzia Juni 30 mwaka huu endapo serikali haitabadilisha viwango vyao vya malipo.

Chanzo: ITV
 
Mandingo

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
4,178
2,000
Waongoza watalii nchini pamoja na wabeba mizigo ya watalii(wapagani) kupitia umoja wao,wametangaza kusudio la kugoma kuanzia Juni 30 mwaka huu endapo serikali haitabadilisha viwango vyao vya malipo.

Chanzo: ITV
Nawagome tu!Tumechoka!
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,246
2,000
Waongoza watalii nchini pamoja na wabeba mizigo ya watalii(wapagani) kupitia umoja wao,wametangaza kusudio la kugoma kuanzia Juni 30 mwaka huu endapo serikali haitabadilisha viwango vyao vya malipo.

Chanzo: ITV
=wapagazi. Wanatafuta maisha bora walioahidiwa
 
weraufo

Member
Jun 12, 2015
20
0
Viashiria hivi ni vibaya, na utalii ni jambo ambalo lina athari kubwa kwa nchi, sijui mwisho wake, lakini tunaelekea kubaya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom