Itapendeza kwani mwendo ni kuibua vyanzo vipya vya mapato Hadi wanyonge wajinyonge.Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya serikali na Mamlaka za serikali za Mitaa...
Nimejikuta nakuelewa mkuu.Ccctv camera ni wachache.
Itungwe sheria Ili umiliki simu ni lzm ukate leseni ya kutumia simu na lzm ulipie mafunzo jinsi ya kutumia simu simu zote zisizo na vigezo hivyo zifungiwe hapa tutakusanya Kodi nyingi Sana itakayotosha kukamilisha miradi
Wakishamaliza huko kwenye CCTV waje kukusanya kodi za "KUWEZANA".Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa...
🤣🤣Wakishamaliza huko kwenye CCTV waje kukusanya kodi za "KUWEZANA".
Kodi ya tv, kodi ya dish la satelite, kodi ya car alarm, kodi ya baiskeli, kodi ya kua na mke zaidi ya mmoja, kodi ya kua na watoto zaidi ya ya wawili, kodi ya kupaua kwa bati la msauzi. vyanzo vya mapato ni vingi, serikali inazembea tuTanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania Nzima Ni Tajiri
Watu Wamevurugwa Sana
Cash Wanapeleka Kwa Mr Kuku
Serikali Ikamue Kodi