Baada ya kuzoea kufanya mapenzi kuna uwezekano wa kuacha kabisa?

Hata najua basi

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
1,606
Reaction score
3,132
Wadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili.

Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe?

Ukweli ni kwamba wakati mwingine hisia zinakuja ghafla, mwili unahitaji bila hata kupanga. Ndiyo maana najiuliza:

Je, tamaa au hamu ya mwili inaweza kufutika kabisa?
Kuna mtu aliyewahi kuacha kwa miaka kadhaa baada ya kuzoea?

Ni njia gani zinafanya kazi kweli?
Naomba uzoefu wa kweli na ushauri wenu, hasa waliowahi kupitia hali kama hii.

Wakuu karibuni 🙏🙏
 
618897.jpg

I like this guy
 
Ziba na gundi hilo tobo hapo katikati ya mapaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom