Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,627
Manati ya kidhungu umeisahau wapi makofi siku hizi hayatoshii
unampiga makofi hadi hasira inaisha
Manati ya kidhungu umeisahau wapi makofi siku hizi hayatoshii
Sijasema pesa ni kila kitu katka mapenz na inaelekea hujaelewa thread vzuri,unapokuwa kwenye mahusiano you have to compromise kama unaweza kumsaidia mwenzako si mbaya i did for love and good heart...tatizo linakuja pale ambao ana misuse my interntions
Ole wako ukiache hiko kijamaa Albadir inakuhusu chezea jini makata na jini subiani wewe lazima yakunyonye kinyesi tena huna hata kinga na uzinzi wako huo.
Hakuna mahala ambapo nimesema wewe umesema pesa ni kila kitu ila nimesema "unadhani pesa ni kila kitu".
Kuelewa au kuto kueleweka kwa thread yako kunatokana na maelezo yako swala kumbwa ulitotaka hapo lijadiliwa au ushauriwe ni lipi? kama sio hilo la ubinafsi
Nimesoma vizuri sana uzi wako yani pamoja na kuelezea kwako yote hayo lakini kubwa ambalo umelenga ni hili hapa;
"ananlalamika mi ni selfish nimmuingza kwenye maden.
je kuna ukweli?"
kinachoangaliwa katika stori au habari ni lengo kuu la kukupelekea wewe uandike sio visababu vidogo vidogo kama hivyo vya wewe kumpa pesa yawezeka ulimpatia kama kumkopesha afanyie biashara tu alafu badae akurudishia.
Swadackata..
Sorry hiyo masters yako ni ya nini vile?
Katubu dadangu ili upate kinga ya malaika wa Mungu huyo jamaa hawezi kukuacha hivi hivi kibuzi chake.Ni ushauri tu lakini,Hayo ya albadir unayajua wewe na sihitaji kinga kwan sijafanya lolote baya,na unaponiita mzinzi unakosea kwan huna uhakika na hlo,and are that clean so that you can point a finger at me?!i think not so dont judge me
Mndengereko likes this.sijakuelewa unachohitaji ni nini hasa?
Hivi mlikuwa mmefunga nae ndoa?na unaponiita mzinzi
Umeeleweka nashukuru kwa maoni
uswahilini tunasema amepiga teke pochi la mzungu. Utakuwa ulimpenda kutokana na utozi wake na kunyenyekea watu wa namna hiyo huwa ni watanashati sana na pia baby, honey,sweetheart haziishi midomoni wewe ukaona umepata wa kukupenda kumbe tozi anasubiri akumege aanze kukuletea pozi na namna hiyo kila aina ya mapenzi atakupa yaani atakunyonya kuanzia unyayo, papuchi hadi unywele pole dadangu tafuta levo yako hapo umebugi.
Hivi mlikuwa mmefunga nae ndoa?
na je hauja wahi kugegedana nae?
Kama hayo yote hauja wahi kuyafanya basi hausitahili hiyo sifa uliyopewa na huyo member.
Ila kama ni kinyume na hapo basi kaa ukijua kwamba mtu alioko katika mahusiano ya kimapenzi na haja funga ndoa ni mzinzi.
Sijafunga ndoa na sijawah kuzini naye so mi sio mzinzi,sio kila mwenye mpenzi lazma afanye uzinzi wengne hatukufunzwa hivyo
Sijafunga ndoa na sijawah kuzini naye so mi sio mzinzi,sio kila mwenye mpenzi lazma afanye uzinzi wengne hatukufunzwa hivyo
heri usiwe na mwanaume lakini moyo wako uko salama na hauna matatizo kuliko kuwa nalo hilo zigo halafu matatizo hayaishi
endelea kulea hilo zigo lako siku likakuletea majanga usilie vumilia sababu umelilea toka zamani