Baada ya kuuonja utamu wa CCM, wana Kilimanjaro wanena

Baada ya kuuonja utamu wa CCM, wana Kilimanjaro wanena

Attachments

  • 39EFF6CF-1BF0-4BEF-BC86-A1F54409D931.jpeg
    39EFF6CF-1BF0-4BEF-BC86-A1F54409D931.jpeg
    33.8 KB · Views: 5
Sawa kabisa na hayawezi kuwa ya kila mtu. Lakini wapo wengi tu wanaowaza hivyo na wanaowaza kama ww. Relax

Sawasawa. Na wawaze kwa utulivu
Haina sababu ya kupanick na Mwamba JPM RIP
 
Preposterous!

Watu hawapaswi kutegemea serikali iwaletee maendeleo.

Serikali inatakiwa tu kusimamia sheria za nchi zilizotungwa na Bunge lenye wawakilishi halali wa wanachi na kutafsiriwa na Mahakama iliyo huru.

Maendeleo kwa ujumla wake ni matokeo ya juhudi binafsi za watu na siyo utashi wa serikali isipokuwa tu kama ni serikali ambayo ipo kwa ajili ya kutawala watu kama kikundi cha majambazi wa enzi ya ukabaila kama ambavyo imekuwepo hapo bongo kwa muda mrefu sasa.

Watu wa Kilimanjaro na mikoa mingine mingi tu kama Kagera,
Mara, Mwanza, Mbeya, na Arusha, maeneo ya mjini wanayajua haya siku nyingi na ndiyo maana ya wao kuunga mkono upinzani dhidi ya CCM ambayo inaendesha nchi kikabaila.

Watu wa maeneo ya vijijini huwa wanakuwa wagumu kubadilika na rahisi kudanganywa na sera hewa za CCM na hivyo pengine ndiyo hao unaowaongelea kama huu uzi wako una ukweli wowote.
Umezaliwa mwaka gani wewe? kabla ya Kilimanjaro kutweka na siasa za makamanda Kilimanjaro ilikuwa ni mkoa namba nne kwa uchumi hapa nchini.Leo hii hadi Iringa inatupumulia ? nyie endeleeni kushindana na serikali tu ,wanaopoteza ni watoto wenu.
 
Kilimanjaro na Arusha wanaelewa siasa, na uhuru wa kuchagua...
 
Mara nyingi Wachaga hawaangalii chama ila tu mtu mwenye uwezo na maono katika uongozi.
 
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI SSH NA WENYEVITI WOTE WALIOTANGULIA

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kwa hayo, usiku huu nakula ubwabwa wa nguvu, kisamvu na mbaazi, na chuzi zito la nguru.

Mungu Ibariki Afrika
 
Back
Top Bottom