Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Mimi bado nasubiri feedback/mirejesho kutoka kwa wale waliotumia Kikombe cha Babu wa Loliondo!
Kwa hapa sio rahisi mkuu, labda uanzishe uzi, maana nimesikia kama wanauliziwa waliotumia annointing water.