Baada ya kutoroka Milembe..

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini
KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu
NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie
KICHAA:pouwaaaaaaa
NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna
mtu,kwanini umeuliza hvyo…..?
KICHAA:nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka
au bado nipo

HOPE OF JF
CC
Senator JR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom