Pilipili mboga
Member
- Apr 26, 2016
- 23
- 28
Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini
KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu
NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie
KICHAAouwaaaaaaa
NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini umeuliza hvyo…..?
KICHAA:nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nipo