ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Hawana lakufanya maana mimi nili apa kutotumia BB kwasababu iko kawaida sana ispokuwa walichokifanya ni kuipa faragha iliyo imara kuliko utendaji kazi wake na wao nashukuru kuwa wameona mbali maana baada ya nokia kununuliwa na BILG wameona kunachangamoto kubwa maana toleo lao la mwisho ni z10 ambayo wameiboresha inakaa nachaji lakini haikufanya vizuri sokoni.
bb haiwezi kufilisika itauzwa tu, we hujui dunia ya tech inaendaje wala ulimwengu wa biashara upoje hivi unajua kua microsoft kainunua skype kwa bln 8 na nokia part ya d&s kwa b5 usd? kinachomata ni jinsi gani watu wataipokea bbm na so far naweza kusema mambo ni mazuri. mamilioni ya watu wameidownload na ikifika stage ya watu milion 100 na kitu thamani yake itakua kubwa kuliko hata hio kampun yenyewe ya bb.
haina haja ya wao kucharge wanaweza kupata hela kwa call, matangazo na vitu vyengine ambavyo mi na wewe hatuvijui aka google style.
bb sasa hv kuuzwa ni must kitu kinachochelewesha ni kwamba wanachambua offer kumpata mnunuzi mzuri basi.
chifu unataka kusema bb wametoa bbm ili wapate pesa ya matangazo kutoka apple na google store? Je mapato waliyokuwa wakiyapata kwa kuuza simu yanaweza yakafidiwa na faida hiyo ya matangazo?bb haiwezi kufilisika itauzwa tu, we hujui dunia ya tech inaendaje wala ulimwengu wa biashara upoje hivi unajua kua microsoft kainunua skype kwa bln 8 na nokia part ya d&s kwa b5 usd? kinachomata ni jinsi gani watu wataipokea bbm na so far naweza kusema mambo ni mazuri. mamilioni ya watu wameidownload na ikifika stage ya watu milion 100 na kitu thamani yake itakua kubwa kuliko hata hio kampun yenyewe ya bb.
haina haja ya wao kucharge wanaweza kupata hela kwa call, matangazo na vitu vyengine ambavyo mi na wewe hatuvijui aka google style.
bb sasa hv kuuzwa ni must kitu kinachochelewesha ni kwamba wanachambua offer kumpata mnunuzi mzuri basi.
frm my own perspective ninachona hapa ni pressure imepanda kwa watumiaji wa bb.kwamba ile bragging attention mliyokuwa nayo before haitakuwa tena.hatutasikia tena zile story za mni add upya and blablabla cos ukifanya hivyo utachukuliwa kama mshamba tu wa kawaida.kwisha bb.swali ni je,kupatikana bure kwa bbm app ktk android na ois kutaathiri vp app zingine mfano whatsapp?
Mkuuu punguza upigaji maana a tension as HV n zero
chifu unataka kusema bb wametoa bbm ili wapate pesa ya matangazo kutoka apple na google store? Je mapato waliyokuwa wakiyapata kwa kuuza simu yanaweza yakafidiwa na faida hiyo ya matangazo?
Blackberry wanatengeza classic business phones..
Na toleo la mwisho mwaka huu haikuwa BB z10,, walianza na Z10 april then wakaja na BB Q10 june na mwisho wakamalizia na BB Z30 last month..
Na hizo simu zote zimepokelewa vizuri na kama ulikua Hujua BB Z10 reviewers wengi wameipa rate nzuri kuliko other Flagship devices..
Unaweza uka google for more details na mauzo Ya BB yameenda vizuri sana mwaka huu kuliko hata walivyotegemea..
out of topic
oya jamaa naomba msaada namna ya kuipata tapatalk ya Jf
kaka jf haipo kwenye app yenyewe ya tapatalk wameitoa ila ipo app ya jamiiforums ambayo imebase kwenye tapatalk nenda playstore kasearch jamiiforums.
Mkuuu punguza upigaji maana a tension as HV n zero
frm my perspective,ninachona hapa ni pressure imepanda kwa watumiaji wa bb.kwamba ile bragging habbit mliyokuwa nayo before haitakuwa tena.hatutasikia tena zile story za mni add upya and blablabla cos ukifanya hivyo utachukuliwa kama mshamba tu wa kawaida.kwisha bb.swali ni je,kupatikana bure kwa bbm app ktk android na ios kutaathiri vp app zingine mfano whatsapp?