GE2025 Baada ya kutemwa ubunge CCM, Cyprian Musiba akimbilia ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,573
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

Screenshot_2025-08-25-16-59-43-1.png
 
View attachment 3452590
Ameomba msanaha jmn🤣
 
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.
Sasa huko alikohamia ndiyo watamfunga kweli asipoufunga mdomo wake,hao jamaa ukiwa upande wao watakulinda ukikengeuka utakijua kilichomtoa kanga manyoya awe makini.
 
Atamweza lakini Kangi Lugola mwenye mizizi yake hapo Mwibara?

Anyways, upinzani wakishinda viti vya Ubunge labda vitatu tena vya kupewa na Samia

Watu wanataka Bunge la Kijani, ndiyo maana tumeifungia CDM kufanya Siasa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu
 
Tukiwambia huko cc kumebana hawasi
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

View attachment 3452590Tukiwaambia huko ccm kumebana hawasikii mpaka damu zikianza kuwatoka masikioni ndio wanakuja kujua.
 
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Kabla ya kujiunga na ACT-Wazalendo, Musiba, alikuwa mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, walioshiriki mchakato wa kura za maoni katika jimbo hilo.

Kwa takribani miaka saba ya John Magufuli, Musiba alikuwa akijitambulisha kuwa mtetezi wa serikali na kutoa wito wa kuangamizwa wote wanaokwenda kinyume na mawazo ya Magufuli, hasa viongozi wa upinzani.

View attachment 3452590
Ametoa mfuko huu, akaweka mfuko wa pili
 
Miaka Saba ya John Magufuli yupi? Umepotosha sana kwa Hira tu
 
Back
Top Bottom