Mim nakueleza hivo sasa maana mim ni by profession ni bpharm . 2009 ndo nimehitim chuo
Kuna kipindi chuo cha afya kilikuwa kcmc na muhas na bugando ,hapo ulikuwa ukimaliza chuo unachagua ufanye kazi wapi aidha dar au mkoan nakumbuka kuna jamaa yangu alipangiwa tumbi hospi hapo KIBAHA akakacha eti huko ni MBALI sana hawezi ripoti
Wakaja hawa wakina IMTU na KIRUKI . Kcmc na bugando miaka ya nyuma walikuwa wanachukua watu wasiozid 60 muhas walikuwa kati ya 150 -180 , hivi sasa muhas , bugando na kcm intake yao karibia ina fanana , hapo bado imtu , kiruki , dodoma bado hawajaanza kutoa
Tena nasikia kuna chuo kipo hapo morogoro nacho kinatoa md ,
Kila mwaka kuna takriban 200 MD wana graduate kutoka nje
Hivi navoongea na wew kuna CO na ACO wengi to wamekosa nafasi kwenda serikalin maana bajet haitoshi wako mtaani wanapiga part time , manesi nao sikuhizi wanaajiriwa kwa phase i,ii,....
Mwakajana kuna kama MD 200 hivi hawakupata kazi akiwemo rafiki yangu .lakin bado fursa kwenye private sector zilikuwepo wakaenda.
Lakin ukae ukijua kuna siku soko litakuwa saturated huko mbele
Ndio maana nikasema baada ya miaka 2/3 ..