Baada ya kutemwa nimechagua Diploma ya optometry vipi hapo

man99

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
94
Reaction score
11
Jamani mi ni muhanga wa TCU sasa kwakua kuna ushindan sana nimeamua kujichagulia Diploma in optometry.

Je hii coz ipoje darasani na kwenye soko la ajira?

Msaada jamani
 
umetumia akili na maarifa ya juu sana,vijana wengi wakitemwa hua ving'ang'anizi kiasi kwamba anakuja juta badae na wengine hujidanganya degre ni degree tu na mwisho wa siku kuja kusota kitaa
 
kumbe kozi hi nzuri hata nilikua cjui ngoja 2muombe mungu uzima 2,ili nikakomae
 
jaman mi ni muhanga wa tcu sasa kwakua kuna ushindan xana nimeamua kujichagulia diploma in optometry , je iyo coz ipoje darasan na kwenye soko la ajira???, msaada jaman
Mkuu hujapotea kabisa
Yaan nashangaa watu wanaokomaa na na course kama CO
kwa hali iliyopo sasa soko la hiZo kazi kwa sasa limekuwa saturated sana na kwa haliya sasa baada ya miaka 2 hivi hata Watu kama MD watakuwa kwenye health centre , kuna kozi kama maabara , pharmacy ,radiograph anastizia na hizo optmotry ndizo zenye demand kubwa sana kwenye soko la ajira kwa kuwa zilpuuziwa na watu wengi
Big up
 
asante mkuu kwa ushaur mzuri
 
Jamani mi ni muhanga wa TCU sasa kwakua kuna ushindan sana nimeamua kujichagulia Diploma in optometry.

Je hii coz ipoje darasani na kwenye soko la ajira?

Msaada jamani
Mkuu hizo diploma umeombaje, mana wahanga tupo wengi
 
Mkuu hujapotea kabisa
Yaan nashangaa watu wanaokomaa na na course kama CO
kwa hali iliyopo sasa soko la hiZo kazi kwa sasa limekuwa saturated sana na kwa haliya sasa baada ya miaka 2 hivi hata Watu kama MD watakuwa kwenye health centre , kuna kozi kama maabara , pharmacy ,radiograph anastizia na hizo optmotry ndizo zenye demand kubwa sana kwenye soko la ajira kwa kuwa zilpuuziwa na watu wengi
Big up

hao MDs wenyewe hawajatosha kwene hzo hospital kubwa unazozifikiria. unajua kuwa kuna hospital ina nesi mmoja tuu? ukiutaka ukwel nenda morogoro vijijini huko utaelewa. tatizo la kuongea bila kufanya uchunguz hili daaaah!!!
 
sio mbaya ni nzuri iyo kozi. mana nimeangalia nimekuta inahusu macho. so jiandae kuwa docta wa macho
 
Dah kweli watu mmekata tamaa, from degree to dip?! Enewei goodluck 2 you.
 
hao MDs wenyewe hawajatosha kwene hzo hospital kubwa unazozifikiria. unajua kuwa kuna hospital ina nesi mmoja tuu? ukiutaka ukwel nenda morogoro vijijini huko utaelewa. tatizo la kuongea bila kufanya uchunguz hili daaaah!!!

Mim nakueleza hivo sasa maana mim ni by profession ni bpharm . 2009 ndo nimehitim chuo
Kuna kipindi chuo cha afya kilikuwa kcmc na muhas na bugando ,hapo ulikuwa ukimaliza chuo unachagua ufanye kazi wapi aidha dar au mkoan nakumbuka kuna jamaa yangu alipangiwa tumbi hospi hapo KIBAHA akakacha eti huko ni MBALI sana hawezi ripoti
Wakaja hawa wakina IMTU na KIRUKI . Kcmc na bugando miaka ya nyuma walikuwa wanachukua watu wasiozid 60 muhas walikuwa kati ya 150 -180 , hivi sasa muhas , bugando na kcm intake yao karibia ina fanana , hapo bado imtu , kiruki , dodoma bado hawajaanza kutoa
Tena nasikia kuna chuo kipo hapo morogoro nacho kinatoa md ,

Kila mwaka kuna takriban 200 MD wana graduate kutoka nje
Hivi navoongea na wew kuna CO na ACO wengi to wamekosa nafasi kwenda serikalin maana bajet haitoshi wako mtaani wanapiga part time , manesi nao sikuhizi wanaajiriwa kwa phase i,ii,....
Mwakajana kuna kama MD 200 hivi hawakupata kazi akiwemo rafiki yangu .lakin bado fursa kwenye private sector zilikuwepo wakaenda.
Lakin ukae ukijua kuna siku soko litakuwa saturated huko mbele
Ndio maana nikasema baada ya miaka 2/3 ..
 
embu acha story zako zakusadikika, unaongelea profession ambayo ata nchi zilizoendelea bado zinauhitaji mkubwa sembuse nchi hii, madkari wanahitajika na ndio maana vyuo vinaendelea kuongezwa ili kuziba hio gap!

acha kukatisha tamaa vijana waendelee kusoma!

nawasiwasi na hiyo bpharm yako, hujui ata ration ya wahudumu wa kada ya afya kwa nchi yako.
 
shem wangu kamaliza km wewe mwaka jana hana ajira kila siku anahangaika na ma intavyuu
waache wabishe hawajui kuna kujuana
 
Mkuu hakuna aliyekataa kwamba kuna wenye Bahati mbaya Kama huyo ndugu Yako, am sure ata Enzi Hizo hao walikuapo pia, hapa we talk of the majority ambao wako makazini ukilinganisha na hao wanaozunguka na vyeti Kama unavyodai
 
shem wangu kamaliza km wewe mwaka jana hana ajira kila siku anahangaika na ma intavyuu
waache wabishe hawajui kuna kujuana[/QUOTE]

we shem ako bachelor ya pharmancy af hana kaz mbona ni shidah bora uyo wa macho optometry
 
Ndo hali halisi kwa kila taaluma huko tunakoenda. Diversification is important now when we make choices.
 
embu acha story zako zakusadikika, unaongelea profession ambayo ata nchi zilizoendelea bado zinauhitaji mkubwa sembuse nchi hii, madkari wanahitajika na ndio maana vyuo vinaendelea kuongezwa ili kuziba hio gap!

acha kukatisha tamaa vijana waendelee kusoma!

nawasiwasi na hiyo bpharm yako, hujui ata ration ya wahudumu wa kada ya afya kwa nchi yako.

Acha jazba haijalishi ration
ya wa hudumu wa afya ni kiasi gan kila
Kitu huwa kina bajeti yake kwa hiyo ina maana wataalam waliopo mtaan , manas, co kwenye hospitali zetu wametosha , jiulize kwa nin hawajaajiriwa . Halafu ukiwa unasoma angalia na soko la ajira likoje hutosomi tu ili kuajiriwa serikalin angalia fursa nyingine zazinazokuzunguka ambazo namin wanatoa maslahi mazuri kuliko huko serikalin mfano masharika ya kimataifa kama ICAP,AMREF kila mtu anataka sehem yenye maslah mazuri
Mfano WHO ikitangaza nafasi 5 za MD unadhan ushindan utakuwa sawa na kutangaza nafasi 5 za maabara
 
Mim nakueleza hivo sasa maana mim ni by profession ni bpharm . 2009 ndo nimehitim chuo
Kuna kipindi chuo cha afya kilikuwa kcmc na muhas na bugando ,hapo ulikuwa ukimaliza chuo unachagua ufanye kazi wapi aidha dar au mkoan nakumbuka kuna jamaa yangu alipangiwa tumbi hospi hapo KIBAHA akakacha eti huko ni MBALI sana hawezi ripoti
Wakaja hawa wakina IMTU na KIRUKI . Kcmc na bugando miaka ya nyuma walikuwa wanachukua watu wasiozid 60 muhas walikuwa kati ya 150 -180 , hivi sasa muhas , bugando na kcm intake yao karibia ina fanana , hapo bado imtu , kiruki , dodoma bado hawajaanza kutoa
Tena nasikia kuna chuo kipo hapo morogoro nacho kinatoa md ,

Kila mwaka kuna takriban 200 MD wana graduate kutoka nje
Hivi navoongea na wew kuna CO na ACO wengi to wamekosa nafasi kwenda serikalin maana bajet haitoshi wako mtaani wanapiga part time , manesi nao sikuhizi wanaajiriwa kwa phase i,ii,....
Mwakajana kuna kama MD 200 hivi hawakupata kazi akiwemo rafiki yangu .lakin bado fursa kwenye private sector zilikuwepo wakaenda.
Lakin ukae ukijua kuna siku soko litakuwa saturated huko mbele
Ndio maana nikasema baada ya miaka 2/3 ..

kwa tarifaa yako wewe aliyekwambia usome vyuo vy uchocholoni nani imekula kwako na takwimu za malawi.me mwenyewe co hapa.inaonekana una degree ya polhtical science.scientist says no reseach no says ok?kajipange uje na jipya.
 
Back
Top Bottom