Baada ya Kushindwa Rupia Banda atoa Nzuri

Hiki ni kipimo cha juu cha uzalendo kwa kiongozi aliyeko madarakani katika nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara. Kipimo kikubwa cha uzalendo ni kukubaliana na matakwa ya wananchi walio wengi. Mambo ya kuchakachua yanatokana na kukosa uzalendo na zaidi yanamtambulisha fisadi/mpenda maslahi binafsi.

Wakati wote ukiona mtu anataka apate uongozi kwa njia zisizo za kidemokrasia lazima u-doubt sana motive yake.Huyo hawezi kuwa na jipya lolote la kuifanyia nchi na watu wake zaidi zaidi atakuwa anapalilia tumbo lake. This says a lot about the ruling party in Tanzania.

Yote yana mwisho. Natamani kuona Tanzania yenye kuheshimu matakwa ya wananchi wake!
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani....hongera Banda na mshindi umesawazisha vizuri sana, hili na liwe somo, si kwa CCM tu bali hata CDM kama mkishindwa toeni tamko msonge mbele maisha yanaendelea hayaishi after uchaguzi
God bless TZ God bless Zambia
 
'"IN MY YEARS OF RETIREMENT, I HOPE TO WATCH ZAMBIA GROW. I GENUINELY WANT ZAMBIA TO FLOURISH. WE SHOULD ALL WANT ZAMBIA TO FLOURISH. SO, I CONGRATULATE MICHAEL SATA ON HIS VICTORY.
I HAVE NO ILL FEELING IN MY HEART, THERE IS NO MALICE IN MY WORDS. I WISH HIM WELL IN HIS YEARS AS PRESIDENT.
I PRAY HIS POLICIES WILL BEAR FRUIT.

BUT NOW IT IS TIME FOR ME TO STEP ASIDE. NOW IS THE TIME FOR A NEW LEADER. MY TIME IS DONE. IT IS TIME FOR ME TO SAY ‘GOOD BYE’.
MAY GOD WATCH OVER THE ZAMBIAN PEOPLE AND MAY HE BLESS OUR BEAUTIFUL NATION.
I THANK YOU."'

Kwakweli haya maneno yamenisabisha nitokwe na goose farm, safi sana RUPIA BANDA, hongera SATA.
 
Huyu Banda aalikwe kwenye zile semina elekezi za viongozi wa TZ kama mwaka ujao watafanya tena ili aje awafunze kukubali kukataliwa na kampeni za kistaarabu sio za kuning'iniza Bastola viunoni jukwaani kama tuko Mogadishu.
 
Back
Top Bottom