Baada ya kushauriwa ni muhimu kuleta mrejesho

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,740
Jamani imekuwa kawaida watu kuomba ushauri kwa mambo mbalimbali yanayotuhusu kama familia ya MMU,tunahitaji sasa ukiomba msaada wa mawazo uwe unatuletea mrejesho wa kile tulichokushauri,coz ungekua unauwezo wa kutatua tatizo mwenyewe usingeleta linalokusibu humu.

Tunaomba mfanye hivyo.
 
Lakini kumbuka kwamba SI wote wanaoomba ushauri au kuuliza mambo hapa MMU ni kweli hawana uelewa wa hayo mambo wanayoyauliza. Wengine wanafanya research tu waione mitazamo ya watu wengine na wafananishe na mitazamo na majibu waliyonayo wao.
 
But huu ni mtazamo wangu,siamini kwamba hakuna mtu ambae ushauri wa humu haujawahi kumsaidia.
 
Lakini kumbuka kwamba SI wote wanaoomba ushauri au kuuliza mambo hapa MMU ni kweli hawana uelewa wa hayo mambo wanayoyauliza. Wengine wanafanya research tu waione mitazamo ya watu wengine na wafananishe na mitazamo na majibu waliyonayo wao.

Kweli kabisa.... sometimes unakuta mtu anaomba ushauri ili kuweza ku-confirm maamuzi yake kama yuko sahihi au lah!!!.. anyway na mie ni mtazamo wangu tu.
 
Yesu akamuuliza wale, kenda wako wapi?
 
Back
Top Bottom