secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,119
- 28,076
Yaani Kiingereza cha kuongea na Mchina nacho ni cha kujifariji?Habari za Sabato!
Unajua hii dunia inamambo Sana. Usikubali kushindwa au kuonekana umeshindwa hasa kushindwa kizembe zembe.
Nilisoma humu jamaa mmoja akisema hajawahi kumsikia Paul Makonda akimwaga ung'eng'e. Ile post ilinifanya nicheke Sana. .
Kwa tabia za Makonda ikiwemo kupenda Sifa. Kupenda ligi. Majigambo. Jamaa alikuwa na uhalali wa kujiuliza kwa tabia za Makonda iweje hajawahi kumsikia akimwaga ung'eng'e? Kitu ambacho huenda hata Makonda mwenyewe kinaweza kumsumbua na kwake kuichukulia kama changamoto anayotakiwa kuifanyia kazi.
Sasa ni Leo nimemsikia Makonda akipasua yai akiwa anahojiana na Mchina mmoja kwenye uwanja.😄😄
Amejitahidi lakini bado hana Uhuru kwamba ulimi bado mzito au ana load msamiatina kuinganisha kwa muda kidogo Hali inayomfanya asiwe kwenye fomu 😃 tofauti na angekuwa anaongea Kiswahili.
Je huu ni mwanzo tuu tutegemee mahojiano zaidi ya kingereza kutoka kwa Makonda?
Kwako, unafikiri Makonda angekuwa anajua kingereza kama vile Kiswahili ingekuwaje?
Haya polepole kwenye maoni hapo.
Matusi Leo hayana maana Leo.
Ameongea lakini ni kile cha MEMKWA, yaani huyu mshamba bado sana na alikuwa naonyesha dharau kwa yule mchina alikuwa anaongea huku ana mpetpet mabegani kana kwamba anaongea na yule mwanawe wa kichupa Keagan.Hiyo itakuwa ni AI! Makonda na Kiingereza wapi na wapi bhana! Labda kama amejifunza siku za karibuni baada ya kuteuliwa kuwa Mheshimiwa.
Yaani Kiingereza cha kuongea na Mchina nacho ni cha kujifariji?
Hakuna shida watu wapumbavu kumshangilia mjinga. Ndiyo kipimo cha uwezo waoMakonda akizungumza mara nyingi anaujuzi wa kuwafanya wasikilizaji wake ambao wengi ni elimu ndogo kumuelewa.
Yaani Makonda ukimuweka hapo alafu ukamleta profesa wa udsm uwaambie watoe hotuba alafu uone nani wananchi watamshangilia. Ninakuhakikishia Makonda atashinda hiyo Mechi.
Makonda anamadhaifu mengi lakini moja ya mambo aliyobarikiwa ni kujua kucheza na akili za watanzania wengi.
Hii utake usitake.
Tofauti na Tundu Lisu.
Lisu hotuba zake anaweza kushawishi kundi kubwa la wasomi
Mpaka wewe chawa unamkubali waziri aliyechaguliwa na mama yetuMpaka wewe chawa unamkataa waziri aliyechaguliwa na mama yenu.
Nimemsikiliza sasa kile ni kiingerereza au vitukoHabari za Sabato!
Unajua hii dunia inamambo Sana. Usikubali kushindwa au kuonekana umeshindwa hasa kushindwa kizembe zembe.
Nilisoma humu jamaa mmoja akisema hajawahi kumsikia Paul Makonda akimwaga ung'eng'e. Ile post ilinifanya nicheke Sana. .
Kwa tabia za Makonda ikiwemo kupenda Sifa. Kupenda ligi. Majigambo. Jamaa alikuwa na uhalali wa kujiuliza kwa tabia za Makonda iweje hajawahi kumsikia akimwaga ung'eng'e? Kitu ambacho huenda hata Makonda mwenyewe kinaweza kumsumbua na kwake kuichukulia kama changamoto anayotakiwa kuifanyia kazi.
Sasa ni Leo nimemsikia Makonda akipasua yai akiwa anahojiana na Mchina mmoja kwenye uwanja.😄😄
Amejitahidi lakini bado hana Uhuru kwamba ulimi bado mzito au ana load msamiatina kuinganisha kwa muda kidogo Hali inayomfanya asiwe kwenye fomu 😃 tofauti na angekuwa anaongea Kiswahili.
Je huu ni mwanzo tuu tutegemee mahojiano zaidi ya kingereza kutoka kwa Makonda?
Kwako, unafikiri Makonda angekuwa anajua kingereza kama vile Kiswahili ingekuwaje?
Haya polepole kwenye maoni hapo.
Matusi Leo hayana maana Leo.
Uko sahihi sana. Makonda ni mwanasiasa aliyekamilika jukwaani. Lissu hawezi shawishi raia jukwaani. Na kwenye siasa ukilimudu jukwaa ni rahisi kufanikiwa. Kwa mfano CHADEMA kuna watu wazuri sana kwenye kuandika kwa mfano Malisa na Yericko ila wakija jukwaani wanazidiwa na kina Ole Sosopi na Sugu.Makonda akizungumza mara nyingi anaujuzi wa kuwafanya wasikilizaji wake ambao wengi ni elimu ndogo kumuelewa.
Yaani Makonda ukimuweka hapo alafu ukamleta profesa wa udsm uwaambie watoe hotuba alafu uone nani wananchi watamshangilia. Ninakuhakikishia Makonda atashinda hiyo Mechi.
Makonda anamadhaifu mengi lakini moja ya mambo aliyobarikiwa ni kujua kucheza na akili za watanzania wengi.
Hii utake usitake.
Tofauti na Tundu Lisu.
Lisu hotuba zake anaweza kushawishi kundi kubwa la wasomi
Zero brainMpaka wewe chawa unamkubali waziri aliyechaguliwa na mama yetu
Nae sambamba Hakuna kumuachiaaaa
Kumbe unajijuwa kuwa ni zero brainZero brain
Na uzuri ni Member wa kudumu humu jukwaani. Mwanzoni alikuja kichwa kichwa, baadaye akaamua kurudi kivingine na fake ID kama sisi wenzake.Itakuwa alisoma post Moja humu akaamua kujichomoa betrii
Na uzuri ni Member wa kudumu humu jukwaani. Mwanzoni alikuja kichwa kichwa, baadaye akaamua kurudi kivingine na fake ID kama sisi wenzake.
Uko sahihi sana. Makonda ni mwanasiasa aliyekamilika jukwaani. Lissu hawezi shawishi raia jukwaani. Na kwenye siasa ukilimudu jukwaa ni rahisi kufanikiwa. Kwa mfano CHADEMA kuna watu wazuri sana kwenye kuandika kwa mfano Malisa na Yericko ila wakija jukwaani wanazidiwa na kina Ole Sosopi na Sugu.
Whaat? Una mashaka na mimi kwenye Kiingereza?Wewe unaweza hata hicho?😄
Whaat? Una mashaka na mimi kwenye Kiingereza?
Bring the challenge on!
Old school hatutumii AIMmmh! Hutotumia AI hapa wewe?😅