racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,042
- 1,547
Nope. Sio option hyo. Hyo ni option ya kama unatumia Virtual Reality (VR) headsetMkuu hapo vipi nitakuwa nime solve tatizo?View attachment 1810567
Nope. Sio option hyo. Hyo ni option ya kama unatumia Virtual Reality (VR) headsetMkuu hapo vipi nitakuwa nime solve tatizo?View attachment 1810567
HahahaaPole sana, binadamu wabaya sana...
Fitna za binadamu hizo kwa sababu umenunua simu mpya...
Duh basi itabidi nibadilishe tu simu.Nope. Sio option hyo. Hyo ni option ya kama unatumia Virtual Reality (VR) headset
Imy😢Pole sana. Hiyo Xiaomi Uliagiza ama ulichukua mji upi? Bei elekezi tafadhali
We jamaa bilashaka ni engineer wa simu, nimependa jinsi ulivyoelezea in technical wiseBaadhi ya vioo vya OLED vinakua na PWM (Pulse-width modulation) flickering. Vioo vya vya electronic devices vinatumia PWM kucontrol brightness ambapo kinakua kina switch ON and OFF kwa haraka sana. Ssa kuna baadhi ya watu (kama wewe) wanakua wapo sensitive sana na hii ON & OFF kiasi cha kwamba unakua unaona kma display ina cheza cheza. Kwenye OLED ni vigumu kuona display inacheza cheza ila inakua inakuumiza macho na kichwa. Kwenye LCD ndio utaona inacheza cheza. Mara nyingi simu za bei rahisi ndio zinakua na hili tatizo, unakua unaona kma mwanga kwenye kioo unacheza cheza.
Ushauri ni kwamba usipunguze brightness mpka chini au mpaka juu ukiwa unatumia simu ndani au usiku. Tumia brightness ya wastani tu
Blue rays filter iko ON?Sawa mkuu ahsante
Ndio mkuuBlue rays filter iko ON?
Itakuwa macho yako yako sensitive na mwanga. My guess ni kuwa kwenyw iPhone ulikuwa umeset au default set brightness/contrast ilikuwa chini kuliko kwenye new device.Ndio mkuu
Wamesema hizi Amoled display zinakuwa na shida kwa baadhi ya watumiaji. Macho yangu yako vizuri sanaItakuwa macho yako yako sensitive na mwanga. My guess ni kuwa kwenyw iPhone ulikuwa umeset au default set brightness/contrast ilikuwa chini kuliko kwenye new device.
Kama ndivyo set brightness to fixed instead of auto. As addition kama ni mpenzi wa dark theme huwa comfortable kwa macho, haswa usiku au sehemu zenye giza.
Huku hazipoUngechukua Oppo find X3 pro
Acheni tu jaman tukae kwenye magereza ya kifahari apple ina raha yakeMimi sasa zaidi nina simu 2 ios,nina ipad na sasa nataka nikamilishe na laptop kabisa![]()
Nina simu na macbook 2015 nipo natunza kibubu nivute ya 2020 kabisaMimi sasa zaidi nina simu 2 ios,nina ipad na sasa nataka nikamilishe na laptop kabisa![]()
Nawaza nirudi tu ios, maana nimekaa nayo muda mrefu na sijaona hizi changamoto. Nimajaribu kufatiria huko google wanasema display ya Amoled pia inachagia kuumiza macho pamoja na kichwa.




Kwenye Redmi wanaita Reading mode.Uwe unatumia eye comfort au eye protection sijui simu nyingine wanaita hivo. Pia iwe na automatic display ibadili intensity ya mwanga kwenye settings na hapo itatunza chaji zaidi.
Nakumbuka uzi wako ule tulishauriana simu.
Best for what?Apple is the best!
Best for what?
Unajua hata ukiinunua simu ,kama ulivyonielekeza hii simu ili upate ile pure amoled kuna kitu unakiset ili color zikae vizur ,nenda kwenye color scheme weka iwe saturated kisha chini yake weka default na uinjoiMkuu itakua unashida ww mwenyew...
Nipo na note 10 hapa sjawah umwa hata sikio..