Nilipata bahati ya kwenda kusoma Marekani mwaka 2000. Kuna jamaa kama 6 walinipokea na tukaishi wote vizuri sana. Nilipomaliza masomo nikarudi nyumbani nikapata kazi na sasa nnaendelea vizuri sana na maisha. Jamaa wawili kati ya wale 6 walionipokea walirudishwa Tanzania. Kwa bahati mbaya hawa jamaa hawakusoma kule marekani. Tulipokuwa kule tulikuwa na maisha sawa tu kwakuwa kule kila mtu anaweza kupata kazi kirahisi. Sasa wamerudishwa nyumbani hawa mabwana wanahangaika sana. Hawana kazi na hawawezi kupata kazi. Hawakujiwekea akiba hivyo hawawezi kuwa wafanyabiashara. Inatia huruma watu wazima kama hawa kurudi na kuja kuishi kwa wazazi wao wakiwa jobless. Wakati tunashirikiana na kufanya kazi kwa pamoja kujaribu kuondokana na uozo wa chama cha mapinduzi ili kuikomboa nchi yetu, ni muhimu juhudi hizo ziende sambamba na jitihada za kujikomboa kibinafi.
Ninapoongelea ukombozi binafsi nna maanisha ni muhimu kujiandaa vizuri kwaajili ya ushindani binafsi unaoendelea katika jamii. Katika vyama tutapa ukombozi wa kitaifa. Ila wakati huo huo kila mtu binafsi anapaswa kufanya kazi kwa bidii kujiandaa au kujiendeleza yeye binafsi na familia yake.
Kama wewe ni mtu mwenye miaka kati ya 30 mpaka 45 na haujasoma na kuwa na degree na diploma utakuwa unakosea. Binadamu tumepewa nafasi ya kuishi duniani mara moja tu. Swali ni jeje wewe unataka kuishi maisha ya aina gain katika jamii. Jamii yetu imegawanyika kati ya walionacho na wasionacho na kwakiasi kikubwa tufauti yao imeletwa na ELIMU. Asilimia kubwa ya walionacho ni watu waliosoma vizuri na kupata kazi inayoyawezesha kumudu maisha, kuwa na hakiba, kuwa na vitega uchumi na hatimae kuwa na utajiri. Kama na wewe umechagua kuishi maisha mazuri katika miaka yako hii michache hapa duniani (your only one life) ni lazima usome vizuri ili uweze kuvuka kutoka katika tabaka la wasionacho na kwenda kwenye tabaka la walionacho. Kuna njia nyingi ya kuweza kuvuka daraja hilo ila njia ya uhakika kuliko zote ni ELIMU.
Street smart is the way to go.nimesomeshwa na wazazi Cheti kipo tuu nimeolewa na rich man na Ninabiashara zangu .degree akili ya mtu maskiniNilipata bahati ya kwenda kusoma Marekani mwaka 2000. Kuna jamaa kama 6 walinipokea na tukaishi wote vizuri sana. Nilipomaliza masomo nikarudi nyumbani nikapata kazi na sasa nnaendelea vizuri sana na maisha. Jamaa wawili kati ya wale 6 walionipokea walirudishwa Tanzania. Kwa bahati mbaya hawa jamaa hawakusoma kule marekani. Tulipokuwa kule tulikuwa na maisha sawa tu kwakuwa kule kila mtu anaweza kupata kazi kirahisi. Sasa wamerudishwa nyumbani hawa mabwana wanahangaika sana. Hawana kazi na hawawezi kupata kazi. Hawakujiwekea akiba hivyo hawawezi kuwa wafanyabiashara. Inatia huruma watu wazima kama hawa kurudi na kuja kuishi kwa wazazi wao wakiwa jobless. Wakati tunashirikiana na kufanya kazi kwa pamoja kujaribu kuondokana na uozo wa chama cha mapinduzi ili kuikomboa nchi yetu, ni muhimu juhudi hizo ziende sambamba na jitihada za kujikomboa kibinafi.
Ninapoongelea ukombozi binafsi nna maanisha ni muhimu kujiandaa vizuri kwaajili ya ushindani binafsi unaoendelea katika jamii. Katika vyama tutapa ukombozi wa kitaifa. Ila wakati huo huo kila mtu binafsi anapaswa kufanya kazi kwa bidii kujiandaa au kujiendeleza yeye binafsi na familia yake.
Kama wewe ni mtu mwenye miaka kati ya 30 mpaka 45 na haujasoma na kuwa na degree na diploma utakuwa unakosea. Binadamu tumepewa nafasi ya kuishi duniani mara moja tu. Swali ni jeje wewe unataka kuishi maisha ya aina gain katika jamii. Jamii yetu imegawanyika kati ya walionacho na wasionacho na kwakiasi kikubwa tufauti yao imeletwa na ELIMU. Asilimia kubwa ya walionacho ni watu waliosoma vizuri na kupata kazi inayoyawezesha kumudu maisha, kuwa na hakiba, kuwa na vitega uchumi na hatimae kuwa na utajiri. Kama na wewe umechagua kuishi maisha mazuri katika miaka yako hii michache hapa duniani (your only one life) ni lazima usome vizuri ili uweze kuvuka kutoka katika tabaka la wasionacho na kwenda kwenye tabaka la walionacho. Kuna njia nyingi ya kuweza kuvuka daraja hilo ila njia ya uhakika kuliko zote ni ELIMU.
Aminiusiamini mwanangu acha kutetea upuuuzi. Kuishi nje ni mtaji kama una malengo. Walipaswa wasome badala ya kuendekeza parties na upuuzi mwingine. Laiti wangekuwa wamesoma angalau wangeweza hata kuulaumu mfumo. Walikosea. Na kwa sasa hali ilivyo hawawezi kusoma Bongo kwa vile wanapaswa wapate mikopo. Hata kama wangeishi nje wangeishia pabaya. Maana wakati wana nguvu wangeweza kupata vibarua. Hawakuangalia kuwa wakizeeka wangeishije. Isitoshe kuishi nje kwa kubangaiza yaani bila makaratasi nao ni aina fulani ya utumwa. Anakufa mtu watu wanachangishana utadhani hawakuwa na akili wala nguvu za kufanya kazi au kutafuta elimu yenye kuweza kuwapatia lau ki akiba. Tubadilikeni jamani duniani tunaishi mara moja.Wewe ni mtu wa ajabu sana. Kama wewe ulitaka kurudi nyumbani ni wewe. Wao pengine walitaka kubaki na kujiendeleza. Hatuwezi wote tukawa sawa. Kusoma na kumaliza, kupata kazi sio wote wameweza jwenda kwenye hio series.
Wapo waliosoma US hawapati kazi huko na sio chaguo lao kurudi nyumbani.
Narudia tena, kama wewe umejinyookea mshukuru Mungu wako. Na sio kuwabeza na kuwadharau wenzako.
Hujui nini Mungu amewaandikia, soon or later watafanikiwa na watakuacha wewe hapo unajifanya ndo umeshapatia maisha.
Maisha ni pata potea ndugu. Chunga mdomo wako.
It depends wamerudishwa Vipi .kama walikuwa hawana Ada ya shule? USA is the land of opportunity street smart is the way to go.ukitaka kitu chochote hapa unapata hakuna madeal.its about your choicesAminiusiamini mwanangu acha kutetea upuuuzi. Kuishi nje ni mtaji kama una malengo. Walipaswa wasome badala ya kuendekeza parties na upuuzi mwingine. Laiti wangekuwa wamesoma angalau wangeweza hata kuulaumu mfumo. Walikosea. Na kwa sasa hali ilivyo hawawezi kusoma Bongo kwa vile wanapaswa wapate mikopo. Hata kama wangeishi nje wangeishia pabaya. Maana wakati wana nguvu wangeweza kupata vibarua. Hawakuangalia kuwa wakizeeka wangeishije. Isitoshe kuishi nje kwa kubangaiza yaani bila makaratasi nao ni aina fulani ya utumwa. Anakufa mtu watu wanachangishana utadhani hawakuwa na akili wala nguvu za kufanya kazi au kutafuta elimu yenye kuweza kuwapatia lau ki akiba. Tubadilikeni jamani duniani tunaishi mara moja.
nadhani hujamwelewa mleta mada,hajasema usipo soma huwezi kuondokana na umasikini wa kipato laa! anasema njia ya uhakika ni elimu. elimu imewatoa wengi sana bila kujali unatoka katika familia gani.siyo lazima kila aliye soma awe na maisha bomba inategemea na fani uliyo somea.mathalani Daktari bingwa uwezekano wa kuwa tajiri ni almost 98%,askari wa jeshi aliyesoma ana nafasi kubwa ya kuachana na umasikini wa kipato.kimsingi elimu nzuri ni kila kitu when it comes to fight against poverty.Ndugu yangu elimu sio kila kitu ni ujanja tu wa mujini. Nenda kariakoo uone wakinga walivyo na hela. Waneishia la saba wale. Nna jamaa yangu aliishia la saba sasa hivi ameoa, ana watoto, ana nyumba nzuri, ana gari na hela kibao kwenye mzunguko. Mi niliyejifanya nna akili ya kufika mpaka chuo sioni matumaini yoyote zaidi ya kuona watu wakipunguza umri kila leo. Tena nikikutana naye ananitania, we uliyepotea njia njoo nikunyweshe bia. Maisha haya ni kujipanga namna ya kutafuta na sio kutegemea njia moja tu. Unatakiwa uchezeshe akili kote kote.
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Kama wewe ulitaka kurudi nyumbani ni wewe. Wao pengine walitaka kubaki na kujiendeleza. Hatuwezi wote tukawa sawa. Kusoma na kumaliza, kupata kazi sio wote wameweza jwenda kwenye hio series.
Wapo waliosoma US hawapati kazi huko na sio chaguo lao kurudi nyumbani.
Narudia tena, kama wewe umejinyookea mshukuru Mungu wako. Na sio kuwabeza na kuwadharau wenzako.
Hujui nini Mungu amewaandikia, soon or later watafanikiwa na watakuacha wewe hapo unajifanya ndo umeshapatia maisha.
Maisha ni pata potea ndugu. Chunga mdomo wako.
Kama ni maisha ni yako mwenyewe.
Sasa ya nini kujishughulisha ya wengine?
Yako yamekushinda ama?
nadhani hujamwelewa mleta mada,hajasema usipo soma huwezi kuondokana na umasikini wa kipato laa! anasema njia ya uhakika ni elimu. elimu imewatoa wengi sana bila kujali unatoka katika familia gani.siyo lazima kila aliye soma awe na maisha bomba inategemea na fani uliyo somea.mathalani Daktari bingwa uwezekano wa kuwa tajiri ni almost 98%,askari wa jeshi aliyesoma ana nafasi kubwa ya kuachana na umasikini wa kipato.kimsingi elimu nzuri ni kila kitu when it comes to fight against poverty.
Aminiusiamini mwanangu acha kutetea upuuuzi. Kuishi nje ni mtaji kama una malengo. Walipaswa wasome badala ya kuendekeza parties na upuuzi mwingine. Laiti wangekuwa wamesoma angalau wangeweza hata kuulaumu mfumo. Walikosea. Na kwa sasa hali ilivyo hawawezi kusoma Bongo kwa vile wanapaswa wapate mikopo. Hata kama wangeishi nje wangeishia pabaya. Maana wakati wana nguvu wangeweza kupata vibarua. Hawakuangalia kuwa wakizeeka wangeishije. Isitoshe kuishi nje kwa kubangaiza yaani bila makaratasi nao ni aina fulani ya utumwa. Anakufa mtu watu wanachangishana utadhani hawakuwa na akili wala nguvu za kufanya kazi au kutafuta elimu yenye kuweza kuwapatia lau ki akiba. Tubadilikeni jamani duniani tunaishi mara moja.