Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
^^
Asalalee,, Kuna watu mna bahati !! Mkipotea mnaulizwa kwa PM !!
^^
^^
Asalalee,, Kuna watu mna bahati !! Mkipotea mnaulizwa kwa PM !!
^^
wengine hatukujua hata kama umepotea.......
karibu tena jamvin
Karibu tena JF...
Karibu tena JF...
Ee bwana, unajua tuko tofauti
H.O.E wacha kunivunjia heshima yangu, tafadhari.
Mkuu unaongoza kwa kukaribisha asee. Nimejaribu kukufuata ila umeniacha mbalii. Unastahili tuzo rep power haitoshi.
^^
Hongera, pengne na sie lower rank tutafikia hatua yako.
HONGERA SANA & KARIBU TENA
(When we are not there look us in those we have served not where we want to be notified)
^^
Usiwe na hofu mkuu Himidini, jaribu kupotea kama wiki tatu hivi au mwezi harafu utaona jinsi watu watakavyokumis.
^^
Asalalee,, Kuna watu mna bahati !! Mkipotea mnaulizwa kwa PM !!
^^
heshima gani nimeivunja tena
Umewaza kama mimi kaka... duh..!
Mkuu ni sehemu ya kusalimiana tu, kuna njia nyingi sana za kusalimiana, kifupi alikuwa anawasalimia wanaJF wote kwa ujumla na kwa bahati nzuri/mbaya jukwaa aliloangukia ni hiliKwani wewe ni nani humu MMU hadi ukirudi ujitambulishe wakati hukuaga ulivyoondoka? Kama uliondoka kimya kimya rudi kimyakimya maisha yaendelee!Unakuwa kama diamond wakati ule anasema 'BOB JUNIOR,AM BACK AGAIN' WAKATI HATA ALIKUWA HAJULIKANI'