Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Lisu: kwahili la chuo cha ushirika nakupinga, chuo cha ushirika kilijengwa na serikali kwa msaada wa DANIDA, hayo mengine sikupingi kwakuwa sina uhakika....
Mbona unarukaruka? Sasa tuhamie mwendokasi? I'm glad umejua kuwa single track haina maana lazima kusubiriana ni logistics tu train zinatembea kama kuna line mbili au zaidi. UK train traffic unataka kufananisha na sisi tunaonza na ambao tangu enzi za Mjerumani tuna single track na ilikuwa inatosheleza?Naifahamu railway system ya Uingereza from London Heathrow, Piccadilly Circus to Scotland. Zile main trunks ni duo lines ili kuruhusu ufanisi na kutosubiriana. Inashangaza mnaposema mahitaji bado ni madogo. Mmefikiria miaka mingapi mbele au mnataka kujenga reli nyingine miaka mitano ijayo? Hivi unajua kuwa mabasi ya mwendo kasi hayajawahi kutosha kwa hiyo phase ya Kimara-Kivukoni? Tz ina watu wengi na wanaongezeka kwa wingi sana lakini hatuplani accordingly.
Sasa Mimi ninayeishi nyanchenche huku Geita na sijawahi hata kufika Dar hiyo fly over inanisaidia nini? Kwanza ni mnyama gani huyo?
Kwa maoni haya, I think hata Nairobi hapo hujafika. IN SHORT YOU DO NOT KNOW WHAT YOU ARE WRITINGKwanza nikubali kwamba maisha yanabadilika kwa kasi sana siku kwa siku na hakuna namna unaweza kufanya yakusubiri mpaka uwe tayari.
Leo nimebahatika kupita barabara ya juu ya Ubungo interchange iliyofunguliwa hivi karibuni nikiwa njiani kuelekea Airport. Nikiwa juu nimepata mwanga fulani na kama ukipata muda pita hapo utabaini mambo kadhaa yafuatayo...
Kwani tunakusanya kodi??tumeshindwa kujenga makao makuu ya chama ndio tutaweza nchi?
Wamarekani wameshaanza kumshikisha adabuLazima mshikishe adabu kwa utovu wenu wa adabu. Na Ikulu hamuingii
Tunataka maendeleo yaendana na utility ya watu.Barabara hailiwi na madaraja hayawezi kuvaliwa.Badolite ilikuwa Kama Paris Leo ikoje?Kwanza nikubali kwamba maisha yanabadilika kwa kasi sana siku kwa siku na hakuna namna unaweza kufanya yakusubiri mpaka uwe tayari...
Tanzania hakuna barabara za juu wewe nenda katembee uone! Umetoka kwenu mbwinde huko watu wana kunywa maji ya rope unakuja mjini kusoma chuo unamatongotongo badoKwanza nikubali kwamba maisha yanabadilika kwa kasi sana siku kwa siku na hakuna namna unaweza kufanya yakusubiri mpaka uwe tayari...
Yani umeamua kujifanya chizi.Kuna NGAZI na flyover lazima ujue Hilo, miaka 50 ya UHURU bado unasifia ngazi? Hakika wewe jamaa ni lofa mno
TANU walikuwa wanapokea RUZUKU kiasi gani (pesa)..?Kwani Tanu walikuwa wamejenga ofisi wakati wanapigania uhuru??
Walikuwa wanachangiwa na wafanyabiashara akiwemo SykesT
TANU walikuwa wanapokea RUZUKU kiasi gani (pesa)..?
Ninamuombea rais wangu huyu siku zote.Mkuu usifikiri tunaomuunga mkono Magufuli tunakurupuka??
Tulipata muda wa kutosha kumfanyia tathmini na kumuona anafaa.
Binafsi sijutii kumuunga mkono huyu jamaa.
Watu washamba kama ninyi ndo Magufuli anawataka, yaani miaka 60 ya uhuru unaona daraja la ubungo ni achievement kuuuuubwa?
kuna mjinga mwingine aliniambia kuwa ukipanda ile Dreamliner huwezi ukamnyima kura Magufuli. Yaani nikasema kuwa na vyeti vya degree bila exposure ni mzigo mzito watu hawaelewagi
Tunataka maendeleo yaendana na utility ya watu.Barabara hailiwi na madaraja hayawezi kuvaliwa.Badolite ilikuwa Kama Paris Leo ikoje?
kwa hyo ulitaka wasijenge barabara wawape kila mtz pesa anunue msosi na nguo? wewe ni CHIZITunataka maendeleo yaendana na utility ya watu.Barabara hailiwi na madaraja hayawezi kuvaliwa.Badolite ilikuwa Kama Paris Leo ikoje?
fly over Ni kuku wapya jamii ya sasso.Sasa Mimi ninayeishi nyanchenche huku Geita na sijawahi hata kufika Dar hiyo fly over inanisaidia nini? Kwanza ni mnyama gani huyo?
Sikiliza Mkuu, wewe akili yako ni ndogo sana. Amini ninacho kueleza. Ungekuwa na akili usinge andika mambo kama haya.Hiyo barabara ndio mbadala wa uhai wa ndugu zetu na Uhuru wetu?
Hiyo barabara ndio nyongeza ya mishahara ya watumishi wetu?
Hiyo barabara ndio bei nzuri ya mazao yetu kama pamba, kahawa, mbaazi na korosho?
Hiyo barabara ndio ajira kwa watoto wetu tuliowasomesha kwa taabu nyingi lakini hadi leo bado ni tegemezi kwetu?
Hiyo barabara inafuta sheria zote kandamizi za kikoloni zinazotesa taifa?
NYAMBAAFUUU...
Wao wana miaka ishirini wana ofisi?Lissu ni akili kubwa sana kwa kweli. Hizi flyover tungejenga hata miaka ya 70 au 80 huko Ila CCM wametuletea ushenzi wao saivi ndo wanaona maendeleo kuwadanganya washamba
Ndio wanayo!!Wao wana miaka ishirini wana ofisi?