MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Wakuu
Nimebadilisha windows majuzi lkn kila nikiconnect PC na WiFi inakula data balaa, 1gb inakatika kimchezomchezo nikauliza Mdau akaniambia windows mpya huwa inaupdates.
MSAADA
1. Je ni data kiasi gani inatakiwa kuupdates windows 10 once and for all?
2. Je nikiamua kuzima hiyo update mpaka siku nikihitaji kuresume nafanyaje?