Baada ya kupata hasra kilimo cha matikiti, sasa nalima bamia

Kwenye tikiti wengi tumekula za uso. Ngwa..ngwa...Kwenye bamia mambo yatakuwa yale yale mmaana umeingia shambani bila kulitafiti soko.
 
kwa bahat mbaya fact nyingi za masuala ya kilimo mitandaoni huwa sio relevant,

Yani hii statement ina ukweli mtupu Bila ubishi wengi wetu tunafanya vitu kwa story za mtandaoni asikwambie mtu ukitaka kujua changamoto zake ingia field mwenyewe

Hao hawana tofauti na wafuga kuku wa mitandaoni akianza kukupa hesabu zake na utakachokutana nacho tofauti yani
 
T

Tatizo ndugu wengi wao ni wakulima na wafugaji wa mitandaoni
 
Back
Top Bottom