Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

Binti hakumpenda jamaa alitaka tu kusitirika wakat hana kaz .... muhimu jamaa aendelee na maisha mengine ila acheni kubaka mioyo ya watu
 

unamtetea mwanamke mwenzako
 
Si afadhali wa Raskazone uyo kapata wa mwahako kajipatia jidume la kidigo shughuli hana kapagawa na mauno ya mdigo.
hahahahaaa! afu akamroga sasa, mana wale mwanamke ukiwa na vijipesa kidogo tu mwanaume akuendea kwa babu! doooohh
 
ahahaha ndio tanga kunani ukija leo hutatamani kuondoka
Kumbee mamafacebook ni wa tanga`hatari sana nyie wadada wa tanga”nilienda tanga siku moja tulipikiwa maharage matamu sijala tena maharage kama yale
Yaani yalikolea nazi ikawa kama sukari vile we acha tu never forgetbarabara ya 21
 
Kumbee mamafacebook ni wa tanga`hatari sana nyie wadada wa tanga”nilienda tanga siku moja tulipikiwa maharage matamu sijala tena maharage kama yale
Yaani yalikolea nazi ikawa kama sukari vile we acha tu never forgetbarabara ya 21

Tanga rahaaaaaaaaaaa mim wa tanga tena hasa
 

Acha ujinga na unafiki wa kuleta habari nusu nusu hapa ili tu utake kujiaminisha unachotaka kuamini!
Watu wawili wakiachana ni lazima kuna sababu, na sababu inaweza kuwa yoyote ile siyo kila Mtu lazima akwambie sababu ya yeye kumwacha mwenziwe!

Wanawake ni watu wazuri sana, na mimi ktk Maisha yangu nimekutana na Wanawake wenye roho nzuri sana na wengine kujitoa kwa ajili yangu pasipo mimi kurudisha wema wao na bado hawakunitupa na hata leo hii nikikwama bado hunichukuwa pmj na kuwa sikuwarudishia mema waliyonitendea!
 
Ilikuwa miaka mitano, mitano mingine atarudi baada ya kutoswa na ataingia na gia ya kwenda kanisani kudai asamehewe maana alipitiwa na ibilisi na pia asamehewe kwa vile Mungu anasamehe
 
Huyu msichana kenge sana, hapa ndo anapo haribu nafasi ya wanawake wachache wanaojua mahusiano na thamani ya ndoa.
Inaonyesha binti hakumpenda mshikaji tangu mwanzo, ila alipenda zake.

Mwambie mshkaji afatilie damu yake.

akapime na DNA,,, mwanamke atakukataa ila wanao lazima atakuforce uchangie.... but kwa maneno ya huna mtoto na mimi...... nna hofu hapo...
 
Maisha ya siku hizi ni ya kuwindana. Muwinda huwindwa.
 
akapime na DNA,,, mwanamke atakukataa ila wanao lazima atakuforce uchangie.... but kwa maneno ya huna mtoto na mimi...... nna hofu hapo...

Huyu msichana hataki kabisa ukarib wala mawasiliano, na inawezekan hiyo statement kaitoa ili kutimiza lengo lake. Huyu binti kama mtoto asingekuwa wake angalisema, ila alichosema ni sahau kuwa umezaa na mimi, this means that amezaa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…