Baada ya kunywa damu kijijini narudi mjini kusaka hela tena

kwanini tu

Member
Nov 8, 2011
50
63
mwakani tena
 
Attachments

  • 327118_2489132906981_1212457542_32285106_721106542_o.jpg
    327118_2489132906981_1212457542_32285106_721106542_o.jpg
    346.4 KB · Views: 131
siku ikihitajika damu yako au ya mwanao ndo utajua. Nitarudi baadae kidogo
 
rudi mwenyewe lol! mi bado kitu cha mwaka mpya. naelekea soko la kinyange na wazee hapa kuchagua mbuzi wa mwaka mpya. mpaka tarehe tatuuuu.
 
rudi mwenyewe lol! mi bado kitu cha mwaka mpya. naelekea soko la kinyange na wazee hapa kuchagua mbuzi wa mwaka mpya. mpaka tarehe tatuuuu.

dah mazee kinyange sokoni, wewe shemeji kabsaa! shemejiiiii usisahau kuniletea na mie mbavu ya huyo mbuzi!!!!!
 
Mi bado mpaka niuonee mwaka hukuhuku hapa naelekea mamsera naenda kuchagua hapo kambuzi ka kakutengenezea kisusio mwaka mpya
 
Back
Top Bottom