Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Hpana mkuu,Mtafute muwe mwakumbushia
Hpana mkuu,Najua umerudi hapa,unatafuta tafuta ushauri mwingine wa namna ya kumrudia. Kwa vyovyote ongea yako inaonyesha huyo unampenda kuliko aliekuoa. Hapo roho inakufukunyua ushike lipi. Kuna uwezekano mpaka sasa tayari 80% ya kumuonjesha tena ama tayari umempa. Utapoteza ndoa na huyo jamaa nia yake ni kukuharibia. Mademu wa siku hizi simjui mkoje?. Vinawawasha ukitulia?. MUNGU anawaona
Kipidi hiki nipo makini zaid mkuuKama mnawasiliana basi ni swala la muda tu atakutia hatiani tena
Anajua tyari nina mtu ila usumbufu upo pale pale.Mfahamishe kuwa ameshapata replacement.
Itabidi nimblock tu mkuu ili nisiwasiliane nae tena.Ukiendelea kuwasiliana nae,uandae na ky jelly utembee nayo kila ck mfukoni ili kurahisisha zoezi
Najua umerudi hapa,unatafuta tafuta ushauri mwingine wa namna ya kumrudia. Kwa vyovyote ongea yako inaonyesha huyo unampenda kuliko aliekuoa. Hapo roho inakufukunyua ushike lipi. Kuna uwezekano mpaka sasa tayari 80% ya kumuonjesha tena ama tayari umempa. Utapoteza ndoa na huyo jamaa nia yake ni kukuharibia. Mademu wa siku hizi simjui mkoje?. Vinawawasha ukitulia?. MUNGU anawaona
Mjukuu wangu umefanya maamuzi ya kiutu uzimaAsanteni sana wote mlionishauri niachae nae nifocus kwenye maisha yangu.
Ni hivi yule girlfriend wangu Hajir kaanza kunitafuta mwenyewe.
Kumbukeni kuwa nilifuta namba zake baada ya yeye kuniacha na kuamua kuolewa.
Ni mwezi tu umepita kaanza kunitafuta. Sijamtukana ila nimemwambia mi nishamsahau na sasa na focus na niliyenae.
Ukiachwa achika na sahau kabisa. Muda ni Tiba nzuri sana.
Asanteni JF kwa ushauri mzuri.
Akale alikopeleka mbogaAnajua tyari nina mtu ila usumbufu upo pale pale.
Asante babuMjukuu wangu umefanya maamuzi ya kiutu uzima
Ndio hvyo. Tena ngoja ntamkomesha.Akale alikopeleka mboga
Ni “ke“ mkuuHivi mleta mada ni Ke? Ama mimi ndio sijaelewa?
Kumbe inaweza kuwa ni “me” mkuu itakuwa mimi ndio sikumuelewa kuandika kama “ke“Hivi mleta mada ni Ke? Ama mimi ndio sijaelewa?
endelea na msimamo huo huoAsante babu
Hivi mleta mada ni Ke? Ama mimi ndio sijaelewa?