Baada ya kumuhadithia history yangu ya life kaniacha

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
Hellow dears

Ilikuwa morng nipo kwenye mwendokasi kutoka kimara mpaka kivukoni nilushuka pale garden tukawa natembea kuangalia pembeni nikamuona kijana wa kike na wakiume ambao teyali wanaonekana kuchanganyikiwa na madawa ya kulevya wana kiss mbele za watu mimi nikawa natabasamu gafla kaja dem pale naye akawa anacheka

Nika muuliza maswali ya kichokozi baadae tukaachana yeye aliingia NBC mimi nikaingia zangu GSM

Next time tena huyu dada tukakutaba kimara stendi mimi nikamshobokea akasema sikukumbuki nikamkumbusha akafurahi si mnajua mwendokasi wa kimara bila nguvu morng upati siti kidume nikapambana akapata siti na mimi nikasimama

Tulijenga mazoea mpka nikamtongoza akasema yeye anakaribia kuolewa na mchumba wake mwanajeshi nikasema poa tu

Sasa siku mmoja ilikuwa morng tena akasema twende tupate chai tukaingia food point akaniambia nimpe short story yangu nikamwambia anza wewe yake ilikuwa mzuri sana

Mimi kabla ya kumuambia nikamwambia yangu sio mzuri sana akasema sawa ni kweli nikafunguka mpaka akatak kulia kabisa baada ya kutoka pale nikawa nikipiga cm hapokei nikifika stendi ni msubilie hatokei

Siku mmoja nikapewa barua ya kusimamishwa kazi nikamwambia akapiga simu tuliongea mengi sana lakini baada ya hapo mpaka leo hatuna mawasiliano sijajua mpka leo sababu ya yeye kuniacha bila sababu ni ipi

Mimi sio mzuri kwenye uandishi nivumilieni kidogo
 
Mwanamke ni mtu wa kufake maisha na tamaa.
Utakuta kwao wanaishi kijijini porini huko, muda wote wapo shambani ila akija mjini naye ni tajiri hata kubeba maji hawezi wakati kule kijijini wanatoa maji mbali kwa kichwa tena kwa foleni.
Mwanamke anapenda mtu muongo anayefake maisha. Hapo ungesema una nyumba na gari kwa ufupi una maisha mazuri kumla ni 100%. Ulipokosea zaidi uliposema umefukuzwa kazi.
 
We ni mjinga,hakuna mwanamke anapenda dark side za mtu,bila kuwa muongo muongo huwezi kuwanasa hawa viumbe,ukikua utajua

Nipo ivi nikisema uongo lazima utajua tu ata mtoto anajua hapa ananidanganya but tangu hapo now simsimulii mtu hadith yangu ya maisha
 
Mwanamke ni mtu wa kufake maisha na tamaa.
Utakuta kwao wanaishi kijijini porini huko, muda wote wapo shambani ila akija mjini naye ni tajiri hata kubeba maji hawezi wakati kule kijijini wanatoa maji mbali kwa kichwa tena kwa foleni.
Mwanamke anapenda mtu muongo anayefake maisha. Hapo ungesema una nyumba na gari kwa ufupi una maisha mazuri kumla ni 100%. Ulipokosea zaidi uliposema umefukuzwa kazi.

Yah alionyesha kuumia kwa kiasi fulani
 
Hawa watu huwa hawapendi mtu mkweli, mwenye upendo wa kweli na mwenye huruma (mpolempole).
Hata kwenye 6, inabidi upige hasa yaani mpaka akuambie amechoka. Bila hivyo utasaidiwa

Mimi ni mpole sana af ni mvivu kuongea hilo nalijua hila kwenye 6 ni mkorofi sana
 
Hellow dears

Ilikuwa morng nipo kwenye mwendokasi kutoka kimara mpaka kivukoni nilushuka pale garden tukawa natembea kuangalia pembeni nikamuona kijana wa kike na wakiume ambao teyali wanaonekana kuchanganyikiwa na madawa ya kulevya wana kiss mbele za watu mimi nikawa natabasamu gafla kaja dem pale naye akawa anacheka

Nika muuliza maswali ya kichokozi baadae tukaachana yeye aliingia NBC mimi nikaingia zangu GSM

Next time tena huyu dada tukakutaba kimara stendi mimi nikamshobokea akasema sikukumbuki nikamkumbusha akafurahi si mnajua mwendokasi wa kimara bila nguvu morng upati siti kidume nikapambana akapata siti na mimi nikasimama

Tulijenga mazoea mpka nikamtongoza akasema yeye anakaribia kuolewa na mchumba wake mwanajeshi nikasema poa tu

Sasa siku mmoja ilikuwa morng tena akasema twende tupate chai tukaingia food point akaniambia nimpe short story yangu nikamwambia anza wewe yake ilikuwa mzuri sana

Mimi kabla ya kumuambia nikamwambia yangu sio mzuri sana akasema sawa ni kweli nikafunguka mpaka akatak kulia kabisa baada ya kutoka pale nikawa nikipiga cm hapokei nikifika stendi ni msubilie hatokei

Siku mmoja nikapewa barua ya kusimamishwa kazi nikamwambia akapiga simu tuliongea mengi sana lakini baada ya hapo mpaka leo hatuna mawasiliano sijajua mpka leo sababu ya yeye kuniacha bila sababu ni ipi

Mimi sio mzuri kwenye uandishi nivumilieni kidogo
Kashaolewa na mjeda wake.
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Mwachiluwi , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu

FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
We ni mjinga,hakuna mwanamke anapenda dark side za mtu,bila kuwa muongo muongo huwezi kuwanasa hawa viumbe,ukikua utajua
Dark side zako mwanaume kufa nazo never tell a woman ukihisi utapata sympathy kwake kwa kujionyesha unatilisha huruma, yaan sana sana atakisagia kunguni ufie uko, one thing fake till you make it, yaan wewe jiweke wa juu never try to underrate yourself before any woman, make sure unajipa credit zako mwenyewe usihitaji huruma yako kwake ndio iwe sehemu ya yeye kukupa penzi yaan mwanaume unajitilisha huruma kwa mwanamke ili akupe penzi?

Mwanamke ndie kiumbe pekee ambacho kinapenda kuongopewa zaidi kuliko kuambiwa ukweli, ukimwambia mwanamke ukweli my friend umekula za macho na za kichwa na za uso puuu puuu puuu, mwingine hukutamkia wazi huna hiki na hiki sikupendi wewe masikini utanitia umasikini tu kwenye mapenzi wewe unaangalia upendo mwanamke akili yake ipo site inafanya uwekezaji kwako inaangalia itavuna kiasi gani kwa wakati gani, so what you gonna do bogus?
 
Back
Top Bottom