Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

pole sna lakini nikupe hongera. kukubali inamaana amekuamini kuwa siyo mpita njia. na ameona miaka yote hiyo hukati tamaa. ameona kwali upo serious na nimuoaji wewe. sasa usimwangushe. mpende kama alivyokupenda. na nikuambie tu huyo ndo mwanamke wa kuweka ndani. nikutakie mgegedo mwema. ila usimwache please
 
Inasikitisha kuona msomi kama wewe tena kutoka chuo maarufu unapost ishu ya kipuuzi. Sitaki kuamini kuwa ndivyo ulivyofunzwa ila unanilazimisha niamini kuwa elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kuvumbua na kuleta mabadiliko chanya yako binafsi na jamii kwa ujumla. Tumuogopeni Mungu basi jamaniiiii.....
 
Nilizan mmefanya tafit za kimaendeleo kwa miaka saba sasa leo umepata jibu jibu...kumbe ulikuwa unatongoza for seven years ndo umepata positive answer..... sasa kitaaalam kakukatalia miaka saba na ww jibu la siku moja umesahau miaka saba ya kukataliwa....... ehehehe we have a long way to have mind liberation
 
Atakuwa ajuza loh,,, mod mpewimbo we --usikatetamaa--- usivunjikemoyo-----
 
Uyooo kakosa soko na umri umesonga akaona akukubalie tuu. But your not her first choice keep it on your mind.
 
Hapo ndo panaposhangaza mdada wa watu kakukubali wewe mbio jf kuja kutafuta mawazo ya kumuumiza kumbuka Mungu anauona mpango wako jitahidi kuwazia wengine mema ili nawe upate mema. Hujui kwanini alikua anakukataa na hujui kwanini amekukubali sasa hivi. Pengine kuna kitu Mungu alikua anamrekebisha au anakurekebisha.
 

Utamgonga kwa gongo, baiskeli, pikipiki, gari au rungu?
 
Kaona kero kwakuwa umemsumbua muda mrefu, kakubali yaishe uache kumsumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…