Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

Huyo ni senene aliyeangukia kwenye kikaango kuungana na wenzie wanaokaangwa,mkaange na yeye!!
 
Ulichoandika kipo na kitaendelea kuwepo daima milele. Mwadamu hajaumbiwa shida, hakuna mtu anayependa shida.

Umekua msaada wa matatizo yaliyokua yakimsumbua kwa muda mrefu hivyo anaamini hakuna mtu mwingne wathamani kwake zaidi yako.

Ni Jambo lakawaida kutokea kwa watu wanaowajibika kwa jamii moja kwa moja fani yako ikiwa moja wapo. Swali lakujiuliza siku zote ni "Je! Utapendwa na wangapi?"

Huwezi zuia hisia za watu Bali unaweza kujizuia kutokana na hisia za watu
 
Bila kushurutishwa wala kulazimishwa naomba nikutunuku heshima kubwa sana kwa mchango wako! Ahsante mnoo!
 
Back
Top Bottom