Baada ya kumshauri huyu mwanamke sasa ananipenda mimi

Ungempenda unadhani ungekuja kuongea hapa kila mtu hula madhahuni kwake boss umla secretary kwani na kazi zinaenda powaa sema ujampenda
 
Wavulana wa mikoani mnamatatizo gani, hilo ni swala lakuomba ushauri? wewe ni Psychologist kweli au mpiga ramli?
Labda hujanielewa vzr mkuu sijaleta hapa unipe ushauri nimeleta Ku share changamoto ambazo n very critical tunazokutana nazo !!

Anyway ume comment kulingana na ulivyoelewa ahsante pia
 
Onesha udhaifu wako wewe! Mwanaume gani unakuwa mpole kiasi hicho eti kisa "code of professional conduct" isn't? Kukariri na kuquote vimisemo vya kibepari kusikufanye ucheze manguda kwenye eneo la box.
 
Labda hujanielewa vzr mkuu sijaleta hapa unipe ushauri nimeleta Ku share changamoto ambazo n very critical tunazokutana nazo !!

Anyway ume comment kulingana na ulivyoelewa ahsante pia
Yaani hapo ndiyo unavunja miiko ya kazi yako kabisa, una share siri za wagonjwa wako hapa JF? Hivi yale maadili ya kazi za Psychologist haujawahi kuyasoma?
 
Yaani hapo ndiyo unavunja miiko ya kazi yako kabisa, una share siri za wagonjwa wako hapa JF? Hivi yale maadili ya kazi za Psychologist haujawahi kuyasoma?
Hapa mkuu sijatoa siri ya MTU katika mkutadha wa kuvunja maadili ya kazi , this is a counselling technical support for problem assessment to find how clonic and the level of problem is in the community, je watu wengine wanachukuliaje hili ??? And so far !

Nmesoma miiko yote na jinsi ya Ku handle!
 
Me nilimsaidia kumshawishi atoe mimba ya mshikaji ikiwa ni dili tulocheza na mshikaji baada ya kugoma kuitoa yeye.
Sasa ikabuma,Dada yake akajua nikaitwa.Nikalisolve et SAA hii demu ananitaka kisa umahili niloonyesha ktk kusolve issue yake.
Me sitaki nimemwambia hadi Jamaa.
 
Umeona kitu ambacho kipo mkuu hapo !!

Kwa mfano unaweza kusema huyo mwanamke ana mapenzi ya dhati kweli? Offcoz ni kuwa makini sana!

Ahsante kwa uzoefu mkuu!
 
Kwenye miiko ya taaluma/kazi yako hakuna confidentiality mzee? Na usiseme kuwa hujamtaja jina, coz mhusika anaweza kukisoma hiki kisa muda wowote. Na mpaka anakutongoza, hiyo hali umeruhusu mwenyewe, meaning umevunja miiko mingi tu hapa.
 
hahaha mkuu wewe si mwana psychology..... embu pambana na hali yako mkuuu

Kweli leo nimeamini ule msemo usemao Nyani hawezi ona kundule lake mwenyewe...

Goodluck chief....
 
Kwenye miiko ya taaluma/kazi yako hakuna confidentiality mzee? Na usiseme kuwa hujamtaja jina, coz mhusika anaweza kukisoma hiki kisa muda wowote. Na mpaka anakutongoza, hiyo hali umeruhusu mwenyewe, meaning umevunja miiko mingi tu hapa.
Hapa mkuu sijatoa siri ya MTU katika mkutadha wa kuvunja maadili ya kazi ,

This is a counselling technical support for problem assessment to find how clonic and the level of problem is in the community,

je watu wengine wanachukuliaje hili ???

Nmesoma miiko yote na jinsi ya Ku handle! hata kama mhusika atajishuku vipi na atakuwa na ushahidi gani kwamba ni yeye ??? Kwani anajua kuwa yeye pekee ndie ametokea kunipenda?? Je anajua Nina shauri watu wangapi?

Sioni nilipovuka miiko na before kuandika pia nmekaa na kutafakari
 
Back
Top Bottom