Ahsante mkuu,Sasa Kama hujampenda kimapenz sioni sababu ya ww kulileta hapa hili suala ili tukushauri Nafikir jibu unalo
Nyingi sana ila si unajua pesa haitoshikila la heri....ila uliye naye ana noti za kutosha ee
kweli kabisa aseeh...Nyingi sana ila si unajua pesa haitoshi
Ndiyo hivyo ukimzidi mambo yanakuwa mambokweli kabisa aseeh...
Hataki umzidi sioNdiyo hivyo ukimzidi mambo yanakuwa mambo
Wewe ukimzidi nafasi unapataHataki umzidi sio
[emoji12] [emoji106] Muda ukiwadia nitakutaarifuWewe ukimzidi nafasi unapata
Safi[emoji12] [emoji106] Muda ukiwadia nitakutaarifu
poa[emoji106] poaSafi
Aisee, naona umeuelewa sana Uzi wangu nina maanisha nini ahsante sana na ubarikiwe mnoo! Mkuu !!Maadili ya kazi/sheria huwekwa kwa makusudi maluum ya kuogoza au kumlinda mtumiaji wa taaluma maluum kwa kujua au kutojua yanayoweza Kumkabili.Sijafahamu ktk siku zote utoazo ushauri kama Unayajenga tu Bila kusababisha mengine yabomoke! Ila ninachofahamu kwa hakika ni kwamba wanaokufata kutaka ushauri kwako ni watu dhaifu kimaamuzi na wanakuja ili
Uwaimarishe kifikra.Kwa upande mwengine
Ikiwa kuna watu wajanja ambao kawaida yao ilikua kutumia Udhaifu wa hao wateja wako,usitarajie wakakupenda.Jiangalie usije ukatumika Vibaya.
Nawe piaAisee, naona umeuelewa sana Uzi wangu nina maanisha nini ahsante sana na ubarikiwe mnoo! Mkuu !!
Nmesoma miiko yote na jinsi ya Ku handle! hata kama mhusika atajishuku vipi na atakuwa na ushahidi gani kwamba ni yeye ??? Kwani anajua kuwa yeye pekee ndie ametokea kunipenda?? Je anajua Nina shauri watu wangapi?
Sioni nilipovuka miiko na before kuandika pia nmekaa na kutafakari
its like u wrote what was in my mind!That awkward moment when the councellor seek for councelling
Mkuu this is your best comment, nmeipenda maana imegusa kwenye dhumuni la Uzi wangu,Huh! Details zote hizo umeweka halafu mwenyewe asome na asijijue? Na hauhitajiki ushahidi, Trust ni kati ya nguzo muhimu za taaluma/kazi yako mzee, mtu akishakuwa na wasi na uwezo wako wa kumsitiri sidhani kama atajisikia kufanya kazi na wewe. Inawezekana ungepata wateja hata kutoka humu, ila tayari aliye makini atajiuliza.
Inajulikana toka enzi kuwa women are suckas for listeners. Ukimjali kidogo na kumsikiliza, they're most likely to develop a thing for you, that's how they're built. As a man and a 'counselor', shouldn't you be having more game on these kinda things, man?