GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu na Rais Dkt. Magufuli ( Msubi ) kuwa wiki iliyoisha ndani ya Jengo letu tukufu la kutunga Sheria nchini tuliweza kumjua mlevi mmoja aliyebobea ambaye hata hivyo aliweza " kutumbuliwa " na Msubi.
Kama tujuavyo sehemu yoyote ambayo huwepo Walevi haina ubishi kuwa hata Wavuta Bangi na Waasherati ( Wazinzi ) nao hawakosekani kwani maasi yote haya hufanya Kolabo iliyotukuka katika Jamii yetu inayotuzunguka.
Ni imani yangu kuwa kama tumeweza kumjua Mlevi basi siku si nyingi tu tutamjua au tutawajua Watunga Sheria ambao kiukweli wamebobea kwa / ktk UVUTAJI BANGI na UASHERATI a.k.a UZINZI na namwomba sana Mwenyezi Mungu asichelewe kuwaumbua!
Ewe Mwenyezi Mungu fanya Kazi yako tafadhali kwani tumechoka sasa kusikia michango ya Kilevi levi, Kibangi bangi na Kiasherati asherati.
NB: Nikiri tu kuwa siyo Wabunge wote wana hizi tabia za Kifedhuli na Kipuuzi kwani wapo tunaowajua tokea huku mitaani wana tabia nzuri sana na wastaarabu ila nisifiche wapo ambao kila kukicha tunagongana nao Baa na kule kwenye " mataputapu " na " pingu " na wengine tukigongeana tu Vyumba vya Gesti ili wawahi kumaliza na sisi tuingie " tukajikunjue " na wapo ambao kuanzia tu katika macho yao, kauli zao, vaa yao na utaratibu wao wa maisha wanathibitisha rasmi kuwa ni Wafuasi waliotukuka wa Hayati Bob Marley na ubarikio wake wa ile " kitu " yake.