Baada ya kumbana akanifungukia kuwa ni muathirika wa UKIMWI

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,500
2,763
Ndugu zangu natumain nyote ni wazima wa afya kuna jambo nmeona kushare na nyie kwa faida yetu sote

Wiki hii katika pitapita zangu katika mtandao wa tinder bhas nikakutana na mwanadada mmoja kwa jina X ni mrembo sana maji ya kunde kifupi tu ni mrembo kwa mwanaume yyt rijali akimuona lazima ammeze mate

Sasa nikamlike nae akalike back bhas tukaanza kuchart nikamuomba number nikamcall tukawa tunawasiliana nikaomba appointment ikawa imetiki ila akaniambia yeye hajiuzi kwhy nikaingia ktk gia ya mahusiano bhas kwa kifupi tu tukameet jana nikachukua lodge sas kipind nipo nae ndani nikaanz kumwambia unaonaje tukapime afya zetu kabisa ili tukibanjuka na kuimba nyimbo za kuchkuch hottae tuwe free na amani!!

Mara mara ghafla nikaona mtu anahamack alikuw anakula mara ghafla akaacha kula hapo hapo na akaniuliza swali "je km nikikutwa nao" mm taa za azard kweny kichwa zikawaka ila ikabid nimlainishe awe mkwel tu kuniambia chochote kile bhas manz akaanza kuniambia yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi toka 2018 na aliambukizwa na ant ake na kituo chake cha kuchukulia dawa kipo mwananyamala kiukwel nilimuonea huruma sana japo Sidhani km alikuwa anania ya kuniambia ukwel na alinimbia cd4(km sijakosea)zake zilikuw 420 saiv zimelala 400 kwahy zimebaki 20 sas sikujua dhamira yake je nisingemuuliza ingekuaj!!angeniambia ukwel au!!nimekosa majibu

Hapo nimeshalipia chumba 25,000 kwahy sina tena confid'nce ya kupiga mzigo tukaishia kupiga stor mpk sa1 akaniambia dada ake ambae yupo germany ndio alimshaur ajiunge tinder sijui dhumuni la dada ake kwahy nikajua bhs yawezekana tinder sio kila mwanamke ni wa kupiga tu lazima mkapime alaf tukumbuke hawa dada zetu wa tinder ndio wapo mtaani kwetu barabaran tunakutana nao sehem mbalimbali

NB:huyu binti bado ni mwanachama wa tinder yupo vzr usoni sna kwahy angalieni huko msije kukumbana nae japo si msemi kwa ubaya lkn ni vile stk ndoto za vijana wenzangu ziharibike ukipata manz kondom ni muhimu au kupima afya zenu endapo mmeanza mahusiano

MUNGU WETU ANATUEPUSHA NA MAMBO MENGI SANA
 
Hakutaka kukutunuku

Mkuu hapana km kutunukiwa ningetaka kula ningekula mzee kwamaan manz alinishawish hta nikanunue kondom lkn nikajikuta hata imani na kondom sina mzee na ameniambia clinic yake ni tar flan kwahy nikiwa tayar naeza kwenda nae ili tujue namna ya kujiepusha ila mm ndio habar imeisha hiyo
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anakatafuna kademu kamoja mtaani, kale kademu mwezi uliopita kaliumwa ghafra kakaenda lazwa muhimbili kama wiki 2 kalivyopata ahueni aka mtumia jamaa sms akimuomba samahani kuna yeye nimuathirika tayari na jamaa yangu alikala kale kademu si chini ya mara 10 na hajawahi kutumia kondom hata siku moja, jamaa alichanganyikiwa ilikuwa saa tano usiku jamaa alitoka usiku huo huo kutafuta zahati, kapimwa kaonekana yuko safi yaani jamaa haamini.
 
Back
Top Bottom