Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote isipokua Dereva,Mwalimu,Police awe anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm

NB:Naitaji mwanaume maji ya kunde asiwe mweupe wala mweusi lizingatiwe wapendwa

Zamu yangu sasa kujipatia mke JF.

Sifa zote ninazo.

Tukutane PM.
 
NEW MEMBER wanaongoza kwa kutafuta wachumba asee.Kwanini wasitafute huko insta na fb ambako kuna pichq kabisa???
Wewe umejuaje kama ni new member? Kwani kuna limitations za umiliki wa account zaid ya moja jf?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom