"You know what? You're a really special person, and I would hope that will always make you feel great about yourself.
But I know sometimes it doesn't. Sometimes you'll be really lonely, and sometimes because you're special, people can do dark, monstrous things to you.
But, this is what I want you to know: you're beautiful. And the people who love you, we love you not because you're special... we love you because you're you. >
I want you to remember that."
Nimeamua hivi kwa sababu nimejifunza kuwa mwisho wa kujaribu kuthibitisha upekee wangu ni magomvi, tu kwa sababu mimi ni wa kipekee.
Katika upekee wangu, ninapitia mambo haya ya kina:
- Intuition: Nina nguvu ya kutambua kauli ya uongo hata bila ushahidi.
- Maono: Naweza kumuona mtu aliye mbali na kushuhudia matukio ambayo sipo kimwili.
- Kusafiri kwa Nafsi: Nafsi yangu inaweza kutoka ndani ya mwili wangu na kusafiri umbali mrefu.
- Nguvu ya Maumivu: Maumivu ndani yangu huniongezea nguvu isiyopimika, na kunifanya nifanye mambo ambayo wengine yamewashinda.
- Mapambano: *I can fight evil forces like crazy, and what I love the most is still a myst
Ngoja tumsikie na de Gunner atakua nala kusemaHapa yenyewe umejaribu kuthibitisha kwa maneno jinsi ulivyo special .
BTW : Ulishasafiri kwa Nafsi kwenda hadi wap?. Na ilikuwaje?.
Ukipata wasaa pia. Na hiyo ya Maono. Hebu tupe kisa na mkasa.
Alafu hapo hapo kwenye Maono, kuna huyu mtu, Mbaga Jr , siku akiwa anajichukulia sheria mkononi anzisha uzi mtag kkuwa unamuona.
maana ni mbishi kweli, tukimwambiaga kuna watu wako special.
You punched him in the ribs 😂Bila kutoa physical evidence unayo ya sema ni matupu tu..
Na kama una uwezo ya nini uufiche?
Bila kutoa physical evidence unayo ya sema ni matupu tu..
Na kama una uwezo ya nini uufiche?
Acha kujilinganisha na watu wengineJust recently... Jana tu tena nimeweza ku observe hiki kitu mara mbili, na kikazidi kumake sense kwangu..
The more spiritual you are people become So drawn to your presence...
Actually, ni hivi... Jana nilikuwa zangu nakula misele baada ya kutoka zangu harakati, mimi huwa sio mtu wa kuroam around the streets. Ila hiki kitu huwa kinanitokea sana.
When you walk people be staring at you. Yaani mpka nashangaa am I an alien or something! Kusema kuwa nimeulamba hakuna. People be giving me strange looks mpaka unashangaa vipi jamani. Alaf ukiwaangalia labda najuana nao hakuna... Alafu wanavunga...
- de Gunner
- Replies: 318
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Am like you
Huwezi kusema you're special bila experience.. Hiyo ni kuwa delusionalYou punched him in the ribs 😂
Ndo maana nimekwambia usijilinganishe na watu. Wewe ni boya kama maboya wengineGo fu🖕k to hell 😂