Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Inaelezwa na wataalam wa mahusiano kuwa,wanaume wengi hushangaa ni kwa nini siku ya pili ya kuanza kwa safari ya ndoa,wanaanza kuwalinda sana waume zao na kutumia mbinu za kike kama machozi,sauti ya huruma au ukaidi kuhakikisha kuwa mwanaume anatulia ndani.
...
Mwanasaikolojia wa kijerumani mwanamke Bell,,anasema kuwa kwa mwanaume ambaye anaonesha mafanikio ya kimaisha mfano kuwa na nyumba,usafiri au mafanikio ya upesi kazini basi wanawake huwa wanamjadili,kumtafiti na kumuwinda kwa kila hali.Na hivyo basi hatua zifuatazo ni ushindi.
1. Kuongea nae
2. Kupata mawasiliano
3. Kuingia ndani kwenye sebule
4. Kupika chakula
5. Kufika chumbani.
6. Kufunga ndoa.
Katika hatua ya 7 mwanamke anajua anatakiwa kuboresha ulinzi. Maana anajua ushindani aliouacha nje ni mkubwa kiasi gani..
Pengine wanaume wanaweza kudhani ni wivu wa kijinga lakini,mwanasaikolojia Rubbelt anasema hilo kwa mwanamke ni "to have and to keep"
...
Wanaume wa kiafrika tunashauriwa kuwa makini na ulinzi huu maana tunapokaidi sana madawa ya kienyeji (limbwata) hutumiwa na mwanamke ambaye amedhamiria kutetea penzi lake.