Baada ya kuhitimu form 4

Baada ya kuhitimu form 4

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
66
Reaction score
36
Habari wana JF, in matumaini yangu kuwa ni wazima. Nina mdogo wangu kamaliza form 4 na ndoto yake no kuja kusomea udaktari yaan MD ila tatzo n kuwa Physics hakupiga yaani, japokuwa matokeo hayajatoka bado ila tuna imani ataweza kufaulu masomo mengine ya sayansi, sasa swala ni je. akifaulu labda CBG aende akomae na Advance au apige tu shortcut chuo, na akipitia form 5 anaweza kupiga cozi gani yenye soko kwa sasa?
msaada tafadhal
 
Apge shortcut lkn ahakikishe amefanya vinzur math,phy,Chen,biology and English angalau kila somo apge B km alikuwa anasoma shule ya magu na km alikuwq private apge A na km ataenda advance kusoma CBG hawez kusomea MD
 
Physics hakupga, kwa hiyo km akienda Advance baadae anaeza piga cozi gani
 
Back
Top Bottom