Pengine alikua akimwogopa dadake ila kwa sasa yupo huru kuwa na wewe... Ikiwa unampenda changamkia fursa sababu asipoangukia kwako ataenda kuanguka kwenye mikono isiyo salama/wahuniShida kwa nini iwesasa kwa shida ya ugomvi na dada ake

Hahahaha kwaiyo nimpotezee aendelee kukaa kwa dada ake auHiyo sababu nyepesi sana angalau ungeniambia umempa ujauzito kafukuzwa kwao hapo sawa ila kugombana huyo anakuja kugombana na wewe hadi uchoke na maisha
Endelea kumgonga hadi apate akili
Tena sana ana akiwa mbishi piga chiniHahahaha kwaiyo nimpotezee aendelee kukaa kwa dada ake au
Mawazo Yako ndiyo msimamo wakoNatumaini mko poa kabisa,
Kuna binti nimempenda yupo anaishi na dada yake nilishamshauri tuishi pamoja akawa hataki maana yupo anakaa kwa dada yake
Sasa jana wamegombana na dada yake ndio anataka kuja kwangu kuishi. Vipi nimkubalie au nimpotezee maana nishabembeleza sana huko nyuma tuishi wote hakawa hataki.
Nakazia babyWakati unamuomba uishinae haukuja kututaka ushauri, sasahivi amepigana taikondo na dada yake amekuomba aje ndo unataka ushauri!!.. sasa nasisi kama kamati ya roho mbaya hatukupi ushauri pambaneni na hali yenu!.
sawa mchumbaNakazia baby
Nataka kujua kama ushawai kumla?Natumaini mko poa kabisa,