Baada ya kufikiria hili sitofanya tena ujinga

Baada ya kufikiria hili sitofanya tena ujinga

USIPOMPA DEMU WAKO HERA, WATAMPA WANAUME WENGINE MAANA HAWAWEZI KUACHA MWANAMKE MREMBO HIVO ACHAKAE KISHA MATUNZO.. nikikumbuka huu msemo wa mabaharia nakuwa mpole naamua kuhonga tu sina namna
Na wewe Hera ndio nini?

Sent using .... who cares anyway
 
Nafkiri hapo shida ni umaskini tu

Sawa mkuu, maana utajiri bado sijaukwaa. Siku nikiwa na hela kiasi sawa Na net worth ya Mo hapo nitahomga bila kusita sita ila sasa hivi lazima nijibane


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom