Baada ya kufikiria hili sitofanya tena ujinga

Baada ya kufikiria hili sitofanya tena ujinga

mkoba wa 65k?? sio kubwa sana .. ila haitakiwi kupeleka zawadi kwa demu hyo.. itakua ni utovu wa nidhamu ya ejaculate and evacuate. maana unaacha alama(memories)
 
Muache tu sisi tutampa mkoba...
FB_IMG_1580042052349.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una asili ya uchoyo ww yaan kumpa zawadi mtu unayempenda unaanza kuwaza kuwa atakupiga chini, we huna tofauti na wale wanaume wanao wapokonya wapenzi wao vitu walivyo wanunulia mkiachana 😂
 
Una asili ya uchoyo ww yaan kumpa zawadi mtu unayempenda unaanza kuwaza kuwa atakupiga chini, we huna tofauti na wale wanaume wanao wapokonya wapenzi wao vitu walivyo wanunulia mkiachana [emoji23]

Ohoooo...! We endelea kuhonga honga. Siwezi mtaifisha ila kwenye kuhudumia lazima niweke limit. Afadhali nikishamuweka ndani, amekuwa wangu kabisa hapo at least chance za kupokonywa zinakuwa ndogo


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
mkoba wa 65k?? sio kubwa sana .. ila haitakiwi kupeleka zawadi kwa demu hyo.. itakua ni utovu wa nidhamu ya ejaculate and evacuate. maana unaacha alama(memories)

Ni kubwa mkuu, kwenye mabano nimeandika sio ndogo. Nina viwango vyangu vya kuhonga nikivuka huwa naumiza sana kichwa kuwaza kwamba, hivi nampa vyote hivi yeye ananipa nini zaidi ya papuchi. Bora hata wanaodanganya kwa kutununulia vest na perfume.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
I didn't know you're dating bitches. You need to try e'm classy ladies!

Every woman is a bitch depends yupo bankrupted au lah.! Hata hawa classy tunawala kimasira.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Ohoooo...! We endelea kuhonga honga. Siwezi mtaifisha ila kwenye kuhudumia lazima niweke limit. Afadhali nikishamuweka ndani, amekuwa wangu kabisa hapo at least chance za kupokonywa zinakuwa ndogo


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Sasa kama ni wako na ndani umemuweka unababaika na nn usimunulie hiyo zawadi na hofu ya kupigwa kibuti inatoka wapi kama sio umuhamini huyo bibie?
 
Every woman is a bitch depends yupo bankrupted au lah.! Hata hawa classy tunawala kimasira.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
relax man, wewe kushindwa kumnunulia dem wako kijimkoba haikupi excuse ya kuwatukana wanawake wote hadi mama yako. Unless you didn't come out of a woman!
 
eti mnyanduane!
mzee ungenunua mkoba tu! atatokea mwenzako anataka kunyandua na anampelekea mkoba, tena mkoba wa buku 10 tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom