Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,972
Habarini wadau,

Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.

Sasa ajabu ni kwamba uume wangu limegoma kusimama wima tangu siku hiyo,sasa ni wiki hii.
Sijawahi jibusti na kitu chochote ili kuongeza nguvu.

Ila tu nikubali kua nguvu nyingi ilitumika ili kuikabili timu pinzani ambayo ilionesha ufundi wa hali ya juu.
Maswali ninayojiuliza ni je hali hii nikawaida ama kuna mkono wa mtu.
 
Kuna taarifa moja ya muhimu hujaiweka sawa, kabla sijakueleza cha kufanya hebu tuambie ulivaa ndom?
 
haahahahaha,we sio mzima......una nguvu za kiume au walishakula ndogo zamani ndo maana
 
Huwa nasikia ukilala na jini na likakupenda huwa linakumaliza NGUVU ili usipige game na mwanamke yeyote ila yeye.
 
Ndio ukome tena kuvamia wanawake usiojua .utakua umelala na jini we we
 
Back
Top Bottom