Mkandara, Future-Tanzania,....
NB:
..bila Mkapa kupitisha sheria ya magaidi sina uhakika kama Kikwete angekaribishwa White House na Baraka Obama kula ma-apple. pia sidhani kama Joji Bush angetembelea Tanzania na kugawa vyandarua.
Ila kaka wewe unawapenda sana wale wanao chagua wa kuwa uwa kule Uraq na Afghanistan au sio?
Nahisi kama X-PASTER anawanyima usingizi vile!Kwahiyo wewe unashabikia ulipuaji. Jamaa lazima ashughulikiwe kisawasawa kwa tabia mbaya ya ki alqaeda.
Nahisi kama X-PASTER anawanyima usingizi vile!
Kila ninapokwenda fikra zako zinakupa kuja kubishana tu. Pole sana kijana.How? Kwakuwa mjahidina, lol
Duh! JF.... Kazi ipo mwaka huu.Naona hapa imeshakuwa tabu. Jamaa aombewe msamaha kama inawezekana.
Inshahlah, Mwenye ez Mungu atamsaidia.
Nemeshawambia huyu kijana alikuwa muuza Unga tu....Tatizo he was at the wrong place at the wrong time..Hawezi kuwa mtu alopanga kulipua Ubalozi wa Marekani kisha ati kaondoka kabla ya...at the age of 20 nani Bongo atamsikiliza..kwa hivyo wanavyodai na navyowajua Watanzania...Haiwezekani..
Kisha kikubwa zaidi wapo wanaomfahamu vizuri vijiwe vya Pakistan kuwa kazi yake ilikuwa kuuza unga kwa Makontena yaliyokuwa yakitumwa huko....
Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c

Nostradamus said:Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c
kwi kwi kwi kwi!!!Labda coart itatoa haki,Ghailani ni bwanamdogo kutoka familia masikini na yatima wa baba.Mama yake na masikini wa kutupwa ambaye hawezi kupeleka wanawe hata primary school.Ghailani kupitia madrassa aliweza kupata wafadhili wa kumsomesha dini na kumsaidia fedha ndogondogo kwa ajili ya familia yake.hakujua kuwa alikuwa anafadhiliwa na magaidi.
hakuwahi kuwa na nia wala dhamira ya kumuumiza mtu,kwani kwake yeye kumuumiza mtu kungemkumbusha maumivu ya malezi magumu waliyolelewa yeye na wadogo zake.
Hadi ghailani anakamatwa alikuwa hajui kosa lake(na hakuwahi kufanya kosa) kama ni kukimbia,alikuwa anakimmbia kwa maelekezo ya mabosi wake bila kujua anakimbia kwa sababu gani na anamkimbia nani.hajui kuendesha gari sembuse kutengeneza mabomu!!!!!!! wamarekani wamegundua kosa lao kwa huyu dogo ndio maana amekuwa mtu wa kwanza kumleta kwenye mahakama za kiraia,,,,,,lets wait and c
Pengine umetumwa...huyu ni Mzanzibari siyo Mtanzania.